Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,348
Leo katika Bunge Maalum la Katiba huyu bwana, Paul Makonda amedai kuwa anapiga kura ya 'ndio' kwa niaba ya vijana wote wenye akili timamu na kwa niaba ya wanachama wa Jamiiforums.
Mimi ni kijana mwenye akili timamu, na mwanachama wa Jamiiforums.
Sijamtuma Paul Makonda na wala sitaki kuwakilishwa nae katika hili, aache kujipendekeza kwangu na wana JF wenzangu kwani hatukukaa kikao chochote tukamtuma atuwakilishe.
Ajisimamie mwenyewe kama anajiamini, asitafute 'kick'!
Sikiliza alivosema eti anatuwakilisha wanajamiiforums.
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=189356&d=1412071154[/JFMP3]