jana katibu hamasa wa vijana taifa alituwakilisha vyema sana kwa kusema amepiga kura kwaniaba ya vijana wote wa Tanzania
Ni Tanzania na probably in other African countries ambapo mtu anaweza kusema hivyo na akawa salama.
jana katibu hamasa wa vijana taifa alituwakilisha vyema sana kwa kusema amepiga kura kwaniaba ya vijana wote wa Tanzania
jana katibu hamasa wa vijana taifa alituwakilisha vyema sana kwa kusema amepiga kura kwaniaba ya vijana wote wa Tanzania
jana katibu hamasa wa vijana taifa alituwakilisha vyema sana kwa kusema amepiga kura kwaniaba ya vijana wote wa Tanzania
Hili jamaa jinga sana
Leo hii nimefurahi sana, Wana JF tumewakilishwa vyema kabisa...Na uzuri wengi humu ndani kura yetu ni NDIYO!!!
Kwa Katiba inayopendekezwa....Hakika tumpongeze huyu kijana.