suleym
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,961
- 1,211
Mwambie yy ni juha!kama hutaki salam za P Makonda si basi ya nini kumkashifu na kumtukana makonda kiboko ya upinzani salam zake mimi nimezipokea eeemeeeeen
Mwambie yy ni juha!kama hutaki salam za P Makonda si basi ya nini kumkashifu na kumtukana makonda kiboko ya upinzani salam zake mimi nimezipokea eeemeeeeen
Huyu si ndio yule mwizi wa tablet??
jana katibu hamasa wa vijana taifa alituwakilisha vyema sana kwa kusema amepiga kura kwaniaba ya vijana wote wa Tanzania
Paul Makonda yupo sahihi sana nadhani wewe mleta uzi ndo hujitambui.
Vijana wenye akili timamu tunamuunga mkono Makonda kwa kauli yake ndani ya BMK!
anawakilisha vijana wenzake wa ccm wasiojitambua kama yeye ccm ni janga la taifaAnawaawakilisha mapumbavu wenzake,wenye akili na njaa kama yake,----- huyu.
Ukiona mtu anamsifia mtu mchafu basi ujue yeye ni mchafu zaidi.
Tatizo ukweli umewagusa nyie mazwazwa.
Vijana wenye akili timamu tunafuatilia BMK na tunawaamini vijana waliopo ndani ya Bunge hilo!
kama hutaki salam za P Makonda si basi ya nini kumkashifu na kumtukana makonda kiboko ya upinzani salam zake mimi nimezipokea eeemeeeeen