Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

Makonda nani Ndugu yako? Tena usfanye nikakutukana toka uko na ccm yenu
 
Kutokana na mshituko ulio wapata Rasimu kupita kwa kishindo Leo tutawasamehe!
Maneno yako hayana tofauti na mtu aliye changanyikiwa!
 
Kama amemaanisha watz wote,mimi anitoe!sina ndugu wanafiki kama hao!
 
makonda naye alienda kuhesabu kura za Hapana zikawa za NDIO
 
Last edited by a moderator:
Hawakilishi vijana,anamwakilisha aliyemteua.Vijana wangepewa nafasi wangechagua mwakilishi makini
 
Shujaa wa JamiiForums anahutubia sasa, viwanja vya Jamhuri., Dodoma!
 
Back
Top Bottom