Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

Eti kwa niaba ya vijana na wasanii wasanii wa nchi hii napiga kura ya ndio.. Ni wasanii gani anaowazungumzia? Au anamaanisha 'MISSION TOWN'?
 
Hata mimi namkana na mambo yake yote kuwa sikumtuma aseme ndioooo ,kwa niaba yangu
 
Wehu na malimbukeni huwa wanapuuzwa hawajadiliwi otherwise mtawaongezea ujinga!!!! Wapuuzeni wapone!!
 
makonda ameniaribia siku kabisa Yaani nina hasira ingawa wazanzibar wamenifurahisha
 
Mphamvu

Kwani wana JF wote ni chagadema!? Mi nimemkubali sana amejitambua.
 
Last edited by a moderator:
Mimi namshukuru Paul Makonda kwa kuniwakilisha!
Anaposema kwa niaba ana maanisha kuna wana jf wana kubaliana nae!
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia sijamtuma kichaa huyu wala sitamtuma hadi naingia kaburini, pumbavu zake naona katumwa na majinga yenzake ya pale kny ofisi ya brbr ya Lumumba!
 
aiseee hata mimi sijamtuma asitafute kiki
 
Huyu kwanza sio kijana japo yeye anajiita hivyo.
Alafu usisahau katika mkutano huu huu Mh. Mbowe alisema kuwa akikutana naye nje anampongeza akiingia ndani anajifanya kukana, hawa ni jamii ya watu wanaoongozwa na njaa na sio utashi!

Kwa statement hi nashawishika kutaka kujua humu ndani anatumia jina gani?
 
Mwizi wa ipad nanjana kuna funguo wa gari umepotea.

Wabunge hawako salama hapo
 
Back
Top Bottom