Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
Subiri Lowasa awe Rais
Hii nayo ni ndoto nyingine mkuu. Amka usingizini
Subiri Lowasa awe Rais
Mimi huwa namuona kama hamnazo au nyie wana JF huwa mnamuonaje
Huyu Paul Makonda mimi pia sijamtuma na hiyo Katiba yao ni yao hao hao wa aina yanguHii nayo ni ndoto nyingine mkuu. Amka usingizini
Ana akili za kuku hawezi kuniwakilisha mtu kama huyo anajipendekezaLeo katika Bunge Maalum la Katiba huyu bwana, Paul Makonda amedai kuwa anapiga kura ya 'ndio' kwa niaba ya vijana wote wenye akili timamu na kwa niaba ya wanachama wa Jamiiforums.
Mimi ni kijana mwenye akili timamu, na mwanachama wa Jamiiforums.
Sijamtuma Paul Makonda na wala sitaki kuwakilishwa nae katika hili, aache kujipendekeza kwangu na wana JF wenzangu kwani hatukukaa kikao chochote tukamtuma atuwakilishe.
Ajisimamie mwenyewe kama anajiamini, asitafute 'kick'!
Sikiliza alivosema eti anatuwakilisha wanajamiiforums.
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=189356&d=1412071154[/JFMP3]
Tatizo huyu domo lake kubwa kama chai jaba na kazi yake kuropokaLeo katika Bunge Maalum la Katiba huyu bwana, Paul Makonda amedai kuwa anapiga kura ya 'ndio' kwa niaba ya vijana wote wenye akili timamu na kwa niaba ya wanachama wa Jamiiforums.
Mimi ni kijana mwenye akili timamu, na mwanachama wa Jamiiforums.
Sijamtuma Paul Makonda na wala sitaki kuwakilishwa nae katika hili, aache kujipendekeza kwangu na wana JF wenzangu kwani hatukukaa kikao chochote tukamtuma atuwakilishe.
Ajisimamie mwenyewe kama anajiamini, asitafute 'kick'!
Sikiliza alivosema eti anatuwakilisha wanajamiiforums.
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=189356&d=1412071154[/JFMP3]
Mimi huwa namuona kama hamnazo au nyie wana JF huwa mnamuonaje
Bangi ni jani takatifu, kulivuta kunakuweka karibu na Mungu na hukufanya utafakari maisha. Wapuuzi kama Makonda hawawezi kuwa miongoni mwa watumiji wa bhange, labda mihadarati au pombe.Inaonyesha wazazi wake waliitungua mimba wakiwa wamelewa chang'aa. Wakati mwingine mijitu kama hiyo inavuta bangi asubuhi, mchana na jioni. Hiyo ndiyo Tanzania ya kesho, pongezi kwa waliowazaa na kuwalea!!!!!!