Namiss sana huyu mtu msinishangae!!


thanks ma bro, namimi nakutakia maisha merefu sna ana yenye baraka kwenye ndoa yako.
ila jua kwamba na mkeo nae anaumia the as wewe unavyoumia kwa kumkosa.
 
Mwanangu ana T shirt moja imeandikwa hivi "how can l miss you if you don't go away?". So mkiwa mbali mbali halafu msipomissiana kuna huge problem!

dah! sasa Kaunga to this extent kwamba nashindwa hata kwenda kazini?? sijui narudi narudi kuwa mtt ama sijui ndo uzee naona siaswi tena kuwa nae mbali yaani hata sijielewi
 
Last edited by a moderator:
thanks ma bro, namimi nakutakia maisha merefu sna ana yenye baraka kwenye ndoa yako.
ila jua kwamba na mkeo nae anaumia the as wewe unavyoumia kwa kumkosa.

Mwalimu gfsonwin najua hiyo na anajua ila hiyo inaimarisha sana upendo kati yenu iwapo kila mmoja anaumia kwa kumkosa mwenzake (hivi unajua nae ni mwalimu)
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu gfsonwin najua hiyo na anajua ila hiyo inaimarisha sana upendo kati yenu iwapo kila mmoja anaumia kwa kumkosa mwenzake (hivi unajua nae ni mwalimu)

ni kweli but inapunguza sana ufanisi has akwenye kazi za maendeleo like mimi leo nimejikuta nasema siendi tanganyka packers kwenye maandamano nimelala ndani hadi saa izi. kweli sasa maisha yatasonga mbele??
 
Napia nmm naona ni hatua nzuri mliyofikia ya kumisiana coz inaimarisha penzi. mkikutana itakua kama ndio kwanza mnatongozana.

Sipati picha sijui itakuwaje siku hiyo!
siku ya kukutana ni furaha sana ila hapa katikati ni pagumu mno.
 
dah! sasa Kaunga to this extent kwamba nashindwa hata kwenda kazini?? sijui narudi narudi kuwa mtt ama sijui ndo uzee naona siaswi tena kuwa nae mbali yaani hata sijielewi

School girl in love, wewe mwenzio nichukua ED ya siku 3 kwani sikuweza kufanya chochote kile.
 
Last edited by a moderator:
I know the feeling my dear. Ulichofanya (kushout out and pouring your heart is good thing. You can cry, you can sing, you can hug all the people around you and thank the Almighty for the rare feeling you have.

I am so happy for you my dearest.

thanks ma dearest!
 
Umeshniudhi, kumbe umeolewa mi nakupigia misele siku zote hahahahaaa (kidding) God bless you Bhana

thanks for the joke.
Amen for the blessings
 
I may not always contact you, but our distance makes me miss you. I may not always stay in touch, but I care for you very much. I may not always say hi, but I hope never to say goodbye. I may not prove to be the perfect one for you, but I hope my love, never fades to an end.
 
We makochokocho kwenye mahusiano yetu tumeshaanza kukutamani kwa kweli.Mungu akubariki penzi lenu lidumu ila huku mtaani tuna mapenzi ya kihuni hadi tumekata tamaa about true love.Mamtu yametekwa na ujinga hadi maudhi anyway atarudi tu na utafurahi sana dada yangu kipenzi wa jf.
 
Wenye makochokocho kwenye mahusiano yetu tumeshaanza kukutamani kwa kweli.Mungu akubariki penzi lenu lidumu ila huku mtaani tuna mapenzi ya kihuni hadi tumekata tamaa about true love.Mamtu yametekwa na ujinga hadi maudhi anyway atarudi tu na utafurahi sana dada yangu kipenzi wa jf.
 
Hakika inapendeza kuona maneno yenye shuhuda nzuri na ya kupendeza kama hii kutoka kwa mwanandoa kwa ndoa yenye umri wa miaka 11. Kwa namna hii ya ndoa kwao daima ndani kuna amani, furaha, upendo wa dhati, nk, sio aina ya ndoa ile ambayo mmoja akiondoka aliyebaki anasema Eeeh Ahsante ili apate kupumua.

Pole na hongera sana Mungu atakuwa pamoja nawe daima kwa kuwa unatenda yanayompendeza katika kuitika wito wako hapa duniani.
 
so umeamua kuusemea moyo sio??
thats so sweet of you bro, thanks.
 
Hongera sister kwa miaka 11 ya mafanikio.
Kuna wenzako wengine sasa hivi wanawaza kucheat jioni hii, au kuondoka kwenye ndoa
Ama kutafuta buzi ili aendeshe Vogue!

Ila nahisi haka kamsimu ka mvua kamechangia kwenye kumbukumbu yako hii. No no vidole vimeteleza
Kompyuta ya mchina hii.
 
Jua hilo basi dada mpendwa umetoa bonge la twisheni wakati naisoma i was iamaganing the way you two love each other mpaka nikawa nashindwa kufika mwisho wa upendo uliopo kati yenu,actually i wish all marriages were like that of yours!!!!!!You have super love:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: for each other na kwa hilo nakutakieni maisha mema na yenye baraka tele siku nyingi zijazo.
sijui kama ni funzo kwa wengine ila najua tu nimeeleza ninavyojiskia moyoni..................ukweli leo siko poa nimemiss sana sana kiasi kwamba natamni nipewe poo niletewe tuongee kisha arudi kwenye kazi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…