Namimi naanza kuwa kama H.Polepole potelea Mbali

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Asee Siasa za Bongo Bila kupiga domo Hutoki.

Nape alianza hivyohivyo, Makonda, hadi Polepole na wengine wengi tu. Sasa naona ujana unakimbia bado nipo tu kwenye siasa za Mtandaoni miaka nenda rudi. Post za kazi bado zipo kuna mkuu wa mkoa wa shinyanga, Mapost ya maofisa ubalozi, Na bado kazi zipo za kutumikia wananchi na ole wao wanipe watanitambua. Nataka nimfunike hadi JPM nitapiga kazi 24/7 bila kulala.

Hahahaha Ni ndoto tu.
Nawatakia kila la kheri Vijana wote waliyoteuliwa kuchapa kazi hasahasa Mtani wangu Polepole.
 
Kila akheri katika hiyo ndoto yake, ila utambue kila mja na riziki yake, usije kosa halafu ukaanza kujilaumu kwa nini ulibadili msimamo wako.
 
kwanza msifie makonda, polepole na mkulu, weka clip tupia hata ig huku ukiwaponda upinzani, endelea hivyo na kama umeandikiwa huko soon tutakuona tuongee asubuhi ya star tv au kile cha chanel10, USINISAHAU KATIKA UFALME WAKO
 
Back
Top Bottom