Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,434
- 14,666
Serikali ya Namibia kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Modestus Amutse wamepunguza kodi ya Mafuta kwa asilimia 50 ili Makampuni yasipandishe bei ambapo itaumiza Wananchi, Amutse ametoa tangazo hilo tangu Machi 27 ambapo unafuu wa Kodi utadumu kwa miezi mitatu wakati ambao wanasikilizia hali ya vita ambapo Serikali ya Namibia itapoteza mapato ya dola Million 29 kila mwezi kutokana na Unafuu huo walioweka.
Bei mpya za Mafuta nchini humo zilizotangazwa leo kuna ongezeko kidogo kwenye petrol ambapo imepanda kwa dola 0.15 sawa na SHILLING 388 za Kitanzania huku Diesel ikipanda kwa dola 0.23 sawa na SHILLING 595 za Kitanzania.
Chanzo: Ecofin Agency