Nami nikawaona Wapanda Farasi Wanne....

Pundit my critical brother,

I guess we are doomed.

My thinking is this; it is either the multiple of us who have same perspective on critical things with our different dimension and analysis on the issue are completely wrong or the one who is the descision maker who appears to have different take on everything is right!

Mchungaji naomba uelewe ya kuwa tatizo si kutoelewa kwa viongozi wetu. tatizo ni kwamba they are paralyzed and overwhelmed. Hivi sasa katika vikao vyao wote wanazungumzia masuala haya na wameona vivuli vya farasi nne lakini bado wana mawazo ya kisiasa na wanaogopa kwenda kinyume...
 
Susuviri,

Kama wako Paranoid, basi si waachie ngazi? kwa nini wanaendeleza ujuvi na ubabe kujifanya wanajua kila kitu huku ni hamnazo?

I would embrace them if they will come and be open and frank to us and declare, mambo mazito tunaomba msaada na ushauri kutoka kwa wananchi.

Tatizo wao wanajiona Alpha na Omega wa kila kitu, mpaka wanakataa kukubali pale wanapokosea kwa kuona aibu. Waumbuke wafute mavumbi huku wakiinuka waanze kujenga upya kwa somo walilojifunza.

Naomba Mola aifanye mioyo yao iwe laini na sikilivu. Ile laana ya kusema mioyo yao iwe migumu inatupa tabu na karaha!
 
Balozi wa Uholanzi kasema inabidi tu invest katika kutumia akili zaidi badala ya kutumia non-renewable resources akaonekana anacheza.

Farasi wanne wanakuja, Mwanakijiji kapendekeza kupunguza/ kuondoa kodi ya mazao ya vyakula ili kusaidia hili la njaa.Njaa hii itakuwa tofauti kwa sababu inaweza isisababishwe na ukosefu wa vyakula bali kupanda kwa bei, serikali yetu sijaisikia hata siku moja ikiongelea hili.Inaonekana kama miaka 30 ya chakula nafuu katika world trade inaisha, tuna long term gani? Reserves zetu zikoje? Barabara/ miundombinu yetu ikoje? Fiscal policy zetu zikoje? Mikakati ya muda mrefu ikoje? Mikakati ya umwagiliaji ikoje? Vyama vya ushirika vimewezeshwaje? Mfumo wa soko huria unawezeshwaje? Uboreshwaji masoko ukoje? Viwanda vya kusindika vikoje?

Tuna mipango gani ya kujiondoa katika subsistence pasantry na kuingia katika 21st century agriculture? Kilimo cha sayansi kinachukuliwaje? GM products tunazikubalije?

Not to sound overly socialist, lakini, tunatumiaje bargaining power yetu kama nchi na hizi regional club zetu kama SADC katika ku regulate imbalances katika world trade? Kuondoa speculations in financial markets zinazotumia ugumu wa hali kujitunishia mifuko kwa ku speculate zaidi katika hedge funds zao? Kuwa adabisha wakubwa wa Ulaya na Marekani kutotumia chakula (biofuels)kuendeshea magari na mitambo yao? Kuyabana makampuni ya kemikali za kilimo yanayomonopolize kilimo na kupanga bei za kila kitu, kuanzia mbegu mpaka mazao?

Oil imeshafikia Hubbert peak, tunafanya nini kuhakikisha tunatumia hili kwa faida yetu?

Sijawahi kusikia viongozi wetu wanaongelea haya mambo wala waandishi wetu kuwauliza.
Natamani tungeunda serikali yetu wenyewe ya wana jf, kuna watu vichwa sana humu mi najiuliza ina maana hao walioko kwenye madaraka hivi vitu havi cross mind zao hata siku moja au wamechagua kuvipuuzia?
 
ninapata hofu kuwa hawa farasi wanne aliowaona rev wanatokana na matatizo ya humu ndani tu. sijui athari za kuyumba kwa hali ya uchumi duniani (credit crunch) zitakapoanza kuonekana tutafia wapi?
 
Rev Kishoka et al.,

Unajua hii mada imenikumbusha mkutano wa juzi pale London. Gavana wa Benki Kuu, pamoja na mambo mengine, aliwasilisha hali ya uchumi na maisha kwa ujumla TZ. Alichofanya ni kuonyesha jinsi ambavyo mambo ni mazuri na kila kitu kinakwenda shwari. Tena akaenda mbali na kusema wanatarajia uchumi ukue sana in the next 2-3 years. Hakugusia chochote kuhusu majanga wala ufisadi na wizi wa pesa zetu pale BOT. Alipomaliza kuongea, nikajiuma vidole na kunyoosha sana mkono ili nipate swali la kumuuliza, bahati mbaya sikupata nafasi maana waulizaji walikuwa wengi sana siku hiyo.

Sasa hii story yako ni tofauti kabisa na jinsi wakubwa wa serikali wanavyoona mambo. Tena watakwambia hakuna hata mtanzania mmoja atakayekufa na njaa. Swali la kujiuliza, je, sisi JF tunavyofikiri na kuona mambo ni tofauti sana na watawala wetu?

Put it in other words, which is which, are we (JF) too pessimistic or our leaders are in the state of denial in their drive to woo cheap popularity?
 
Susuviri,

Kama wako Paranoid, basi si waachie ngazi? kwa nini wanaendeleza ujuvi na ubabe kujifanya wanajua kila kitu huku ni hamnazo?

I would embrace them if they will come and be open and frank to us and declare, mambo mazito tunaomba msaada na ushauri kutoka kwa wananchi.

Tatizo wao wanajiona Alpha na Omega wa kila kitu, mpaka wanakataa kukubali pale wanapokosea kwa kuona aibu. Waumbuke wafute mavumbi huku wakiinuka waanze kujenga upya kwa somo walilojifunza.

Naomba Mola aifanye mioyo yao iwe laini na sikilivu. Ile laana ya kusema mioyo yao iwe migumu inatupa tabu na karaha!

Rev:

Nimerudi kutoka bongo. Kwa maoni yangu, tukilaumu viongozi tu bila sisi kuanza kufanya jitihada hatutafika. Hao viongozi ni watu kutoka miongoni mwetu na kwa sehemu kubwa wanawakilisha vile tulivyo.

Kwa wale waliomaliza vyuo mwishoni mwa 80 na katika miaka ya 90 ndio sasa wanaoshikilia nafasi za kati za uongozi katika mashirika na serikali. Cha kujiuliza je hawa wana-input gani katika nafasi walizopewa? Kwa maoni yangu, wengi wao hawana input yoyote ya kulijenga taifa.

Kinachoendelea sasa ni kwa kila mtu kutafuta ufumbuzi wa matatizo yake binafsi. Shule zikiwa mbaya, wenye uwezo watapeleka watoto wao shule za kulipia. Barabara zikiwa mbaya mwenye uwezo atatafuta shangingi au SUV. Hospitali zikiwa hazina dawa basi kila mtu na vyake.

Hata nchi zilizoendelea zisingeweza kufika zilipokuwepo iwapo kila mtu angekuwa anajaribu ufumbuzi wake binafsi katika matatizo yanayotakiwa ufumbuzi wa pamoja.

Tukirudi kwenye viongozi, ukweli wa mambo nchi haina watawala. Watawala nikiwa na maana ya viongozi wanaoweza kutumia mamlaka waliyopewa kwa manufaa ya umma.
 
Bin Maryam umesema jambo muhimu sana nalo ni kuwa Watanzania tunaishi katika ulimwengu wa "sasa" na ule ambao "Mimi" ni center ya ulimwengu huo. Kama jambo halinigusi mimi basi halinihusu, na likinihusu basi aidha nitalikimbia au kulikwepa kwa kadiri ya kwamba nalizuia lisiniguse siyo lisiwepo.

Mifano yako ni mizuri sana, kwa sababu leo Dar- kuna tatizo kubwa la usafiri na movement badala ya kufanya mradi wa haraka na mkubwa wa ujenzi wa barabara, sisi ndio tunaingia magari mengi zaidi tukijaribu kukwepa adha ya kutembea au kubanana kwenye mabasi. The same thing applies to floods, badala ya kutengeneza mtandao mzuri wa maji machafu na ya mvua tunaamua kuweka magunia na matairi ili watu waruke na kuendelea na safari na kusubiri kukauke na tuwe tumelikwepa Tatizo hadi mvua nyingine inyeshe.

Ndio maana naamini uongozi siyo kufanya maamuzi tu na kutoa maagizo bali ni kuwa na maono. Ni nini kiongozi anataka kiwe na anafanya jitihada kufanya kiwe vile na hayuko tayari kupelekwa mbali na maono hayo.
 
Bin MARYAM

Ni kweli hao wasomi wa mwishoni mwa miaka ya 80 na 90 wangesitahili kuleta chachu ya maendeleo ktk nchi hii lakini mfumo wa uongozi ni wa kuchaguana kirafiki wala si ktk utendaji wa tija.

Kuna jamaa fulani alikuwa anafanyakazi hapo Dawasa na alipiga debe kweli kipindi cha chinga uchaguzi wa 2000,kutoka hapo akapewa uongozi wa Wilaya.Sasa kama viongozi wanapatika kwa njia hii,je watu watapata nafasi ya kutumia elimu na vipaji vyao walivyojaliwa na mwenyezi?Kwa hiyo hii vita inayoendelea isaidie kuvunja mfumo butu wa kuwapata hata viongozi.

Viongozi wapitie TEST mbali mbali,si kwa kujuana na wala uzoefu hamna unambandika pale ili utafune vizuri nchi
 
Rev Kishoka et al.,

Unajua hii mada imenikumbusha mkutano wa juzi pale London. Gavana wa Benki Kuu, pamoja na mambo mengine, aliwasilisha hali ya uchumi na maisha kwa ujumla TZ. Alichofanya ni kuonyesha jinsi ambavyo mambo ni mazuri na kila kitu kinakwenda shwari. Tena akaenda mbali na kusema wanatarajia uchumi ukue sana in the next 2-3 years. Hakugusia chochote kuhusu majanga wala ufisadi na wizi wa pesa zetu pale BOT. Alipomaliza kuongea, nikajiuma vidole na kunyoosha sana mkono ili nipate swali la kumuuliza, bahati mbaya sikupata nafasi maana waulizaji walikuwa wengi sana siku hiyo.

Sasa hii story yako ni tofauti kabisa na jinsi wakubwa wa serikali wanavyoona mambo. Tena watakwambia hakuna hata mtanzania mmoja atakayekufa na njaa. Swali la kujiuliza, je, sisi JF tunavyofikiri na kuona mambo ni tofauti sana na watawala wetu?

Put it in other words, which is which, are we (JF) too pessimistic or our leaders are in the state of denial in their drive to woo cheap popularity?

Kitila,

It is either that we who are always in fear are right and those who ignore the facts are wrong or we who are in fear with our differences come up with multidimensional conclusion that we see the same thing are completely wrong and those who we assume are blind and ignore the facts at hand they are absolute right!
 
Mchungaji naomba uelewe ya kuwa tatizo si kutoelewa kwa viongozi wetu. tatizo ni kwamba they are paralyzed and overwhelmed. Hivi sasa katika vikao vyao wote wanazungumzia masuala haya na wameona vivuli vya farasi nne lakini bado wana mawazo ya kisiasa na wanaogopa kwenda kinyume...

Wameanza kutishana na kutupiana sumu na ramli, ama kweli Taifa limegota kwenye mchanga na viongozi hatuna tena.

Ukisoma Dataz za FMES, unaona wazi jinsi CCM na Serikali ilivyokosa dira mpaka wanaanza kutafuta jinsi ya kutoa majibu sahihi na ya kweli!
 
Back
Top Bottom