Nami natafuta

Nami natafuta

- Super clean (body and oral hygiene)
- Unimpeachable rectitude
- Above average social nous
- Open and progressive minded
- Non-smoker
- Family oriented
- Ample bosom(s)
- Worldly-wise

.....and then some!

come on! mungu anipe nn mie jf oyeeeeee
 
Ndio sababu haikupata wadau, Nyani Ngabu is popular and more loved than Jasiri, ungeileta kwa ID ya Ngabu mkuu ungewakimbia wachumba, serious I tell you.

Oh yeah....

Itafute mada ya 'Win a date with Nyani Ngabu'.......ipo humu MMU....ni ya May 2010
 
Subiri uachwe na kibwagizo cha"kant'angaze" ndio utawaelewa watu wa humu.

Watoto wa kiume wa namna hii ni wa kucapwa bakora...wanaidhalilisha jinsia ya kiume
 
Halafu taratibu kuhamia kwenye mahusiano ndo aje?

Kweli we simba muwindaji. Unataka waje wengi ili uwe unakamata na kunyonga?!

Haya wanakuja.
 
Ok ngoja nije pm sitaki kupoteza hii bahati may be ndoto zangu zakuishi US zitakamilika........lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom