Nami natafuta

Nami natafuta

Mi naona tumwombe invisible aanzishe public forum nyingine ya watu wanaotafuta...
kwani wakiweka hizi hapa kwenye MMU watu wengi hawachukulii seriously.....
(Just a Suggestion )

AD
The Following 2 Users Say Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

Digna37 (Today), Jaluo_Nyeupe (Today)​




GOOD IDEA....... lakini kwa nini watu wengi hawatuchukulii siriaz?
 
The Following 2 Users Say Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

Digna37 (Today), Jaluo_Nyeupe (Today)​
GOOD IDEA....... lakini kwa nini watu wengi hawatuchukulii siriaz?

kwa sababu wengi wao huku wamesha oa na kuolewa..
na watu wengi huku wakuja kutuliza mawazo tu hapa kwenye MMU..
sasa ukituma kitu ambacho hakiwahusu sana wao
sana sana watasema :"GOOD LUCK"au watanza kukuchimba maswali na majibu yenyewe hawayataki ..
ni kuongeza tu poster zao..
sasa hutajua yupi kweli anakutaka na yupi hakutaki..
maana majibu mengi ni ya utani utani tu,,
mi mwenyewe napenda kutuma majibu ya utani utani lol

AD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom