Natural justice
Member
- Aug 15, 2021
- 30
- 47
Rafiki umekuja kushauri au kutukana?Mtoa mada wewe ni kenge manyoya narudia Tena wewe ni gu jinga
Narudia Tena wewe ni......
Pumbafu
mwenzako Abraham Lincoln alitokea Kwenye small Hut house [emoji536]
Akapambana kidume mpaka akawa Rais wa america Ndio Moja ya Marais wa marekani waliotokea Kwenye umaskini kuliko hata huo wako ila still alijivunia kwao sababu Ndio palimpa mzuqa wa kupambana
Acha kumlaumu babako konyo we!
Boya WeweJiheshimu!
Niheshimu mimi ni sawa na babako pumbavu wewe.Mzee una umri gani?
Ni vizuri pia ukimsaidia kurekebisha, utapata barakaHata kama bado namchukia tu! Nyumba mbovu halafu ... Sitaki niendelee, nisije tukana.
Mtoto Kama wewe ungekuwa wangu ningekupiga risasi, yaan nijinyime kukupa elimu,halafu uniletee ufalaNimezaliwa katika familia ya kawaida tu iliyokidhi mahitaji ya msing mwaka 1988. Baba yangu alikuwa mwalimu ila baadaye akaacha bila kutoa sababu za msingi. Sababu yake kubwa ninapomuuliza ni "walikuwa wakinionea wivu na walikuwa wananiroga hasa mkuu wangu wa kazi".
Pesa aliyotumia kukusomesha we mpuuzi ilitosha kumalizia nyumba yake,we una laanaHata kama bado namchukia tu! Nyumba mbovu halafu ... Sitaki niendelee, nisije tukana.
kuwa na amani kama aliwaweka nyinyi priority, that's what is important mkuu, kuna wakati nilimchukia mzazi wangu,,,ila ulikua ni utoto,i came to realize he is the best dad ever, mkuu appreciate efforts tena umuonyeshe una appreciate before its too late, kila mtu ana journey yake hapa duniani,ndio maana nikakwambia fight for your kids wasiwe na insecurities ulizokua nazo ila usim blame mzazi wako,he did the best he could...Inakera, yaani wenzangu kwao nakumbuka ilikuwa mambo safi mno, mijengo mikali n.k, naweza kutukana acha nisiendelee,,nna hasira naye mno
Chizi huyuNyoko kweli, ulitaka ugonge demu kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio?
Tena Hana shukran kabisa huyu shetaniHuna shukurani wewe
Chukua simu mpigie mzee wako leo umshukuru kwa kulipa ada, kuwatoa out na kununua msosi na nguo,huyo mzee ni mfano wa kuigwa, kuna wazee hata ada hawalipi chakula ndani shida,umemuonea bure aisee
vyote Kwa pamoja mkuu hapo Vipi?Rafiki umekuja kushauri au kutukana?