Namchukia mzee wangu!

Kuna watoto ambao Baba zao wapo na hawafanyi kitu alichofanya Baba yako , kuna watoto wametelekezwa na Baba zao, wewe umejua kusoma na kuandika na kuongea kingereza Kwa Ada iliotokana na nguvu ya Baba yako umekula chakula umeshiba Kwa Nguvu ya Baba yako af confidently bila aibu unakuja na akili zako za ajabu kumchafua Baba yako ina maana hio ndo shukran unayomlipa Kwa kukutunza
 
Unakujaje kumtangaza Baba yako ana vimada huku JF hivi nguvu yote aliyowekeza kwako af aje kushuhudia toto alilosomesha ndo linamlipa Kwa namna hii si unatafuta laana Mzee, bro Kwa kwel umeniudhi maana Kama mzazi katimiza aliyotakiwa kutimiza basi mshukuru Mungu maana wengine hatukupata bahati uliyopata bro
 
Moja ya madhara ya mtoto wa kiume kukaa jikoni na mama Yao ndo haya kazi itakua ni kuchagua mabaya ya Baba Tu , ina maana jamaa alikua haoni mama yake ni golikipa Tu anakaaa nyumbani haleti kitu na mpambanaji ni Mzee Tu lkn Kwa sasa anaona Mzee wake ni mjinga
 
Shida ni wewe kutoleta mademu home kwenu au??
Shukuru kwa kidogo alichokupatia na muombee dua njema
 
Mtoa mada ni sharobaro alitaka mzee amtengenezee geto la kuchakatia mademu
 
Shukrani kaka!
 
Ukute Mzee wako ni afisa mzalendo wa serikali anayelinda taifa. Siku akifariki usishangae akafunikwa na bendera.

Mheshimu mzee wako Mkuu, mambo ya yeye na mama yako waachie wenyewe hujui nani kazingua nini.
Hapo unaniogopesha mno, kwa life lile sidhani kama kuna kitu kama hicho!
 
Hata kama bado namchukia tu! Nyumba mbovu halafu ... Sitaki niendelee, nisije tukana.
Subiri ujenge ya kwako,hiyo nyumba mnayoishi ni yake wewe unalilia nini,karidhika mwenyewe na mke wake,hata kama mkewe haridhiki mbona haondoki hapo nyumbani,na ukitaka kujua mkewe karidhika mnaedelea kuzaliwa humo humo,acha hizo bana......
 
We ongea tu mwenzio alishindwa kulia tunda kimasihara kwenye nyumba ya baba yake ....hivyo akisoma wenzie walivyo kula tunda kimasihara home kwao roho inataka imtoke[emoji16][emoji16]
 
We ongea tu mwenzio alishindwa kulia tunda kimasihara kwenye nyumba ya baba yake ....hivyo akisoma wenzie walivyo kula tunda kimasihara home kwao roho inataka imtoke[emoji16][emoji16]
Nyie mboga saba kaeni pembeni
 
Itoshe kusema mtoa mada ni wale ambao Baba anauza ngombe ili kupeleka ngombe ingine shule, akili za kiduanzi Sana hizi . Shubaamiti wahedi
 
Subiri ujenge ya kwako,hiyo nyumba mnayoishi ni yake wewe unalilia nini,karidhika mwenyewe na mke wake,hata kama mkewe haridhiki mbona haondoki hapo nyumbani,na ukitaka kujua mkewe karidhika mnaedelea kuzaliwa humo humo,acha hizo bana......
Nyie mboga saba kaeni pembeni
 
Itoshe kusema mtoa mada ni wale ambao Baba anauza ngombe ili kupeleka ngombe ingine shule, akili za kiduanzi Sana hizi . Shubaamiti wahedi
Sasa matusi yanakujaje hapa wewe wa kishua! Nyie mboga 7 hamtoelewa, kaeni kimya.
 
Tuheshimiane, acha ujinga.
Yaaani comments zote hizi 99% zipo against na wewe hujistukii tu bro.....?

Kama hizo hazitoshi naongeza na hiii...!

"Sogeza sikio nikunong'oneze ....bao lako wewe Bora mzee angemwaga pembeni" maana umekuwa kirusi kwake.[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tuheshimiane, acha ujinga.
Yaani. Pamoja na comments zote hizi 99% zipo against na wewe lkn bado hujistukii tu.....?

Kama hiyo haitoshi chukua na hii sogeza sikio nikunong'oneze "Bro hili bao lililo sababisha wewe utokee Bora mzee wako angewamwagia hao michepuko wake mgongoni akiwa anawala [emoji240] style" ingemsaidia Sana kwa maisha ya mbeleni kuepukana na virus Kama wewe.....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…