Namchukia mama mkwe, yaani hatari

Namchukia mama mkwe, yaani hatari

Kaka kutafuta pesa ni kazi kubwa na ngumu kuliko kutafuta mke so pesa kwanza mke na heshima baadae ndivyo tunavyo amini kule kaskazini
 
kiukweli lazima mahali utoe,ila mahali inapungua na sio lazima ulipe yote kwa mkupuo,so kaka jipange kama kweli unampenda msukuma utamlipia mahali
 
Hahahahaha yeye alitaka wazazi wa binti wamuonee huruma kisa hana kazi . Tena hii ya kutokua na kazi ni sababu tosha kuwa hana uwezo wa kutunza mke. Huyo binti hajielewi ndio maana akaamua kukaa na jamaa bila kufuata utaratibu.Mkuu mtoa mada fuata taratibu mke utapewa tu kama walivyokwambia lipa mahali usitafute ugomvi na wakwe .

Yani hicho kichwa cha habari nilivokisoma nkasema leo ngoja nikamchambe mama mkwe wa mtu mana siunajua tena wanavojidaigi (baadhi ya mama wakwe) Kufika hapa nkasoma story nkaona kumbe mtoa mada ndo problem.

Tena mama mkwe km na wewe upo humu jitokeze tukuletee huyu mtoa mada akuombe msamaha
 
Kichwa cha habari chahusika,
Nimemaliza chuo mwaka juzi, sijapata kazi mpk time hizi, familia yangu ni ya kimasikini, kutoka ni kwa juhudi zako binafsi, swala la mahali au ndoa wazazi hawalitambui ni juhudi zako pekee.

Nilikuwa na uhusiano na binti mmoja takribani miaka mitano sasa, mwanzoni mwa mwaka huu nilianza kuishi nae kwangu kama mke na mume, mama yake alivyogundua yuko kwangu alianza kumsumbua arudi nyumbani haraka, kwa siku simu zilipigwa takribani 50 kumtaka arudi nyumbani sababu akidai ni aibu kubwa kwake na ukoo wao binti kuishi kwa mwanaume kabla ya mahali, na anadai yeye alichumbiwa, akatolewa mahali na harusi ikafungwa ndo akaenda kwa mwanaume sasa yeye mwanae iweje asifuate taratibu hizo,? ilifika mahali ikabidi nimruhusu aende kwao kufika huko aligombezwa sana na kuahidiwa kulaaniwa endapo atatoroka kuja tena kwangu, na mama mkwe ashapanga hadi mahali anadai ni milioni 3, sijui kisa binti yake ni mzuri na mweupe (kwa wasukuma mnaelewa hilo)

Sasa wajameni nimetokea kumchukia mama mkwe kiama, anatumia ufukara wangu km fimbo yakunichapia kwani nilishamueleza nikipata hela niko serious kufuata taratibu zote hizo lakin anamwambia mwanae mimi ni taperi.
USHAURI BANDUGUZ:A S 103::spider::clock:

Mihemko bwana ni issue sana kuidhibiti,wewe hata kazi huna unakimbilia kuweka ndani mtoto wa watu.Hivi unadhani maisha ni lelemama?Kijana jipange kwanza tena jipange haswa usilete masihara hata kidogo.Tafuta kazi lipa mahari ya watu then weka ndani na siyo ulete visa visa vya ajabu eti namchukia mama mkwe,mama mkwe yupi ambae hata hujammpelekea hata kanga
 
Kichwa cha habari chahusika,
Nimemaliza chuo mwaka juzi, sijapata kazi mpk time hizi, familia yangu ni ya kimasikini, kutoka ni kwa juhudi zako binafsi, swala la mahali au ndoa wazazi hawalitambui ni juhudi zako pekee.

Nilikuwa na uhusiano na binti mmoja takribani miaka mitano sasa, mwanzoni mwa mwaka huu nilianza kuishi nae kwangu kama mke na mume, mama yake alivyogundua yuko kwangu alianza kumsumbua arudi nyumbani haraka, kwa siku simu zilipigwa takribani 50 kumtaka arudi nyumbani sababu akidai ni aibu kubwa kwake na ukoo wao binti kuishi kwa mwanaume kabla ya mahali, na anadai yeye alichumbiwa, akatolewa mahali na harusi ikafungwa ndo akaenda kwa mwanaume sasa yeye mwanae iweje asifuate taratibu hizo,? ilifika mahali ikabidi nimruhusu aende kwao kufika huko aligombezwa sana na kuahidiwa kulaaniwa endapo atatoroka kuja tena kwangu, na mama mkwe ashapanga hadi mahali anadai ni milioni 3, sijui kisa binti yake ni mzuri na mweupe (kwa wasukuma mnaelewa hilo)

Sasa wajameni nimetokea kumchukia mama mkwe kiama, anatumia ufukara wangu km fimbo yakunichapia kwani nilishamueleza nikipata hela niko serious kufuata taratibu zote hizo lakin anamwambia mwanae mimi ni taperi.
USHAURI BANDUGUZ:A S 103::spider::clock:

itakuwa ni kweli wewe ni tapeli ila hujajijua...
 
Hela unazo tenaa nyngi mno Mungu amekuandalia, unachotakiw kufanya ni kujua amekuwekea wapi basi. Ukishajua hilo kazichukue halafu utajua kama unaendelea na yule wa zamani ama unatafuta kitu kipya. Ni kwamba sasa hivi huna option ya kutafuta kitu kipya kwa sababu uko limited na uwezo wa kifedha, zikishakutembelea ndiyo pale utakapojua kuwa kumbe matoleo mapya yapo kibao. However, kumbuka pia kuwa anayekuja kwako kwa "who you are" ni wa muhimu mara million kuliko yule anayekuja kwako kwa "what you are", so the chances kwamba unaweza ukamiss the right candidate pindi utakapokuwa na pesa ni kubwa pia. In any case, zikishakutembea hakikisha kuwa mama mkwe anajua, ila usimtambie
 
mshukuru hata kwa kukupatia mwanae kwa siku hizo, bado si mama mkwe wako kwani umefugia mti mwituni ambapo yeyote aweza kuja kuvuna!
 
Kibaya kinachokuumiza sio mama mkwe ni pesa tatizo pesa.. fanya bidii upate ufuate taratibu zote
 
Wakikuzingua tafta unayendana naye,we si unaona hata takwimu za sensa ya kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume?
Ungekuwa umeshampiga mimba ingekuwa mzuka
 
yani wasukuma kama wangoni kama wanyakyusa..nyie ancestors zenu walikua ndugu....
hii thread ingekua ya mchagga ingelalia sana upande wa kuumia kukosa hela na kulaani uchumii
hehehe ila sasa ya msukuma..imelalia upande wa papuchii,,tena nyeupe:biggrin1:..anamlaani kabisa mama wa mwenzie

sasa ulitaka upewe binti wa watu bure???acha kunogewa vibaya...tena mie ningekua mama mkwe ningekuambia 5mil:biggrin1:
 
Kwani mahari lazima itolewe yote! Waweke hata 10M we walipe laki 5 na mazagazaga yao yale mengine thn unachukua jiko
 
You are just bitter lakini huyo mama sioni tatizo lake. Anataka binti yake afuate taratibu za kuolewa. Mahari yalipwe na ndoa ifungwe.

Wewe unataka tu umchezeshe show binti wa watu bila uhakika wa ndoa.

Unajitetea kwa kusema familia yako ni ya kimasikini. Yule mama hana tatizo na hilo. Na umeshamaliza chuo meaning that familia yako imekupush kadri ya uwezo wao. Hapo huwezi kuwategemea tena itakuwa sio fair.Unatuambia sisi ili tukuhurumie tukupe green light ya kumgaragaza binti wa watu mchangani weeee huku ukitoa stress za kutokuwa na kazi.

Umesoma, kazana kutafuta kazi. Na uwe na plan B kuwa huku natafuta kazi nitaanza ka mradi flani. As long as binti anakupenda atakupa time umpiganie.

Sasa usinimaindi eeh?
 
Kichwa cha habari chahusika,
Nimemaliza chuo mwaka juzi, sijapata kazi mpk time hizi, familia yangu ni ya kimasikini, kutoka ni kwa juhudi zako binafsi, swala la mahali au ndoa wazazi hawalitambui ni juhudi zako pekee.

Nilikuwa na uhusiano na binti mmoja takribani miaka mitano sasa, mwanzoni mwa mwaka huu nilianza kuishi nae kwangu kama mke na mume, mama yake alivyogundua yuko kwangu alianza kumsumbua arudi nyumbani haraka, kwa siku simu zilipigwa takribani 50 kumtaka arudi nyumbani sababu akidai ni aibu kubwa kwake na ukoo wao binti kuishi kwa mwanaume kabla ya mahali, na anadai yeye alichumbiwa, akatolewa mahali na harusi ikafungwa ndo akaenda kwa mwanaume sasa yeye mwanae iweje asifuate taratibu hizo,? ilifika mahali ikabidi nimruhusu aende kwao kufika huko aligombezwa sana na kuahidiwa kulaaniwa endapo atatoroka kuja tena kwangu, na mama mkwe ashapanga hadi mahali anadai ni milioni 3, sijui kisa binti yake ni mzuri na mweupe (kwa wasukuma mnaelewa hilo)

Sasa wajameni nimetokea kumchukia mama mkwe kiama, anatumia ufukara wangu km fimbo yakunichapia kwani nilishamueleza nikipata hela niko serious kufuata taratibu zote hizo lakin anamwambia mwanae mimi ni taperi.
USHAURI BANDUGUZ:A S 103::spider::clock:
Unamchukia bure tuu, mama mkwe wako anaakili na anajua maisha ya undugu na kufahamiana.waza haya?
1. Je hutaki ndugu wa pande zote wafahamiane?
2. Ndoa ni zao la jamii, kwanini wewe unawaza kujitenga?
3. Huisi unashusha heshima yako kwa kukaa na bint kihuni?
4. Kama unajiamini kwanini usiaubiri kidogo unyoshe mambo kiuchumi ndipo uoe?

5. Inaonekana hujahusishahata watu wa upande wako, wamekubaliana nawe ufanye hivyo?
 
Kichwa cha habari chahusika,
Nimemaliza chuo mwaka juzi, sijapata kazi mpk time hizi, familia yangu ni ya kimasikini, kutoka ni kwa juhudi zako binafsi, swala la mahali au ndoa wazazi hawalitambui ni juhudi zako pekee.

Nilikuwa na uhusiano na binti mmoja takribani miaka mitano sasa, mwanzoni mwa mwaka huu nilianza kuishi nae kwangu kama mke na mume, mama yake alivyogundua yuko kwangu alianza kumsumbua arudi nyumbani haraka, kwa siku simu zilipigwa takribani 50 kumtaka arudi nyumbani sababu akidai ni aibu kubwa kwake na ukoo wao binti kuishi kwa mwanaume kabla ya mahali, na anadai yeye alichumbiwa, akatolewa mahali na harusi ikafungwa ndo akaenda kwa mwanaume sasa yeye mwanae iweje asifuate taratibu hizo,? ilifika mahali ikabidi nimruhusu aende kwao kufika huko aligombezwa sana na kuahidiwa kulaaniwa endapo atatoroka kuja tena kwangu, na mama mkwe ashapanga hadi mahali anadai ni milioni 3, sijui kisa binti yake ni mzuri na mweupe (kwa wasukuma mnaelewa hilo)

Sasa wajameni nimetokea kumchukia mama mkwe kiama, anatumia ufukara wangu km fimbo yakunichapia kwani nilishamueleza nikipata hela niko serious kufuata taratibu zote hizo lakin anamwambia mwanae mimi ni taperi.
USHAURI BANDUGUZ:A S 103::spider::clock:
Hivi wewe uko sawasawa kweli? Ingekuwa mwanao wa kike amefanyiwa hivyo jee wewe kama mzazi ungefanya nini??.
 
Back
Top Bottom