Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Afadhari hatuonani hivi ungemuona mtoa mada si ungempiga kelbu wewe lol. Hahahaha sipati picha ambavyo ungemkata mitama na vikofi vya hapa na pale . Ukizingatia huyo ni binti yako halafu lijamaa linaleta hizi hadithi humu khaaaaaa. Jamaa anataka kuhurumiwa yeye fukara, inashangaza kijana msomi na mzima wa afya analia lia kipuuzi eti ufukara kwani ufukara kilema.
yaan huyu jamaa ningekuwa mm ndio baba wa mwanamke haki ya mama ningepa fang fang moja matata sana. Asingenisahau maisha yake yote..... Hana hata aibu kubwabwaja ujinga kama huu....... Huyu jamaa akili yake kinyesi kweli