Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

okay mkuu hapa nimekuelewa vyema sasa..shukrani kwa vichwa panzi wenzangu ambao hatukuelewa najua wengine waliminya kimy
Eeh we komaa.hpo kuwa mjanja angaika nayo hpo.. mi mara kwanza kujiungaga hii ..ilinichukua 2days mpk kukamilisha hasa kupata verification code kutoka.primo wenyewe..so angaika nayo fata maelekezo inayokuwambia
 
poa chief pamoja sana ntaleta mrejesho.USA namba hahaaa soon nakwea pipa kama nyani ngabu
 
Tafuta app inayoitwa dingtone playstal sema inachukua mda mrefu hadi kuipata..
 
Mm nishaipata, ila hapa kwenye call ndio inakataaa kabisa
 
Imatake tym mpk call uipate pia network ya hal ya juu inahitaj..so jaribu mara kwa mara. Afu wakat unasubiria iyo call kuwa attention na pen na karatac maana ikiingia call ukiipokea saut ya dem inaanza kukutajia your verification code afu yuko fasta kitajs na anatumia.english kutaja namba
 
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
UPDATES......

Kwa kua Primo kwa sasa inasumbua wengi, hasa hasa pale kwenye kupata verification codes.....kwa sasa unaeza tumia alternative app kama hii click hapa kui download>>>>>> http://dl.apk20.com/download.php?app_id=365394

Ukimaliza.... Endelea na usajili ndani yake kama ilivo kwenye primo.....
 
Asante sana mtaalamu, je nawezaje kutuma sms kwa computer badala ya simu lakini kwa namba yangu, nakumbuka miaka ya 2006 Tigo walikuwa na hiyo huduma lakini sijui ilifia wapi
 
UPDATES......

Kwa kua Primo kwa sasa inasumbua wengi, hasa hasa pale kwenye kupata verification codes.....kwa sasa unaeza tumia alternative app kama hii click hapa kui download>>>>>> http://dl.apk20.com/download.php?app_id=365394

Ukimaliza.... Endelea na usajili ndani yake kama ilivo kwenye primo.....
Mkuu hiyo link imegoma kufunguka na whatsapp inagoma kunipa verification codes kutoka primo
Msaada pls
 
Back
Top Bottom