Itafika mahali hadi kunya itakua kwa password
Ni kweli mambo haya yapo waliosema yanaendelea dunia nzima sio kupinga kristo ni dini zote tunaoamini Mungu. Mwaka 98 walianzisha mpango wa kuwawekea microchip watu ili wapate data zako zote kama finance, health, na hata allergy, lakini nia kubwa ni kuwa control tu kama ukichukua mkopo ni lazima utalipa badala ya kutuma watu kukusanya madeni wanachukuwa kutoka kwenye data zako, hakuna kuuwa tena watu kwa risasi na gas ila they will damage your pockets and leave you to starve. Hawatafanikiwa kwani miaka ya nyuma ilikuwa ni siri zao kubwa lakini hawakutegemea hizi computer zitaficha uchafu wao na sasa unaona watu kama kina snowden wakitoa siri kila kukicha,
Ingekuwa jukwaa la intelligence poa sana haya mambo mazito sana yanahitaji critical thinking
Tena wale masalia waliotaka kupanda ndege bila visa.
Tena wale masalia waliotaka kupanda ndege bila visa.
Unaona watu wameanza ku attack madhehebu ya watu. Mtoa mada hajataja dhehebu lolote lakini watu wameanza kukashifu madhehebu ya watu kwenye lile jukwaa hizi mada zipo sana lakini sijawahi ona watu wakishambulia madhehebu ya wengine ndo maana naona haikustahili kuwa hapaNi kweli kabisa ndugu,kama vp moderators waihamishe!
bullog si kila kitu lazima kiwe kizima na pengine hii ndio aina yangu ya uandishi
Naomba nieleweshe kidogo
Kila wanapotaka kuweka order mpya wanatafuta njia ya ku implement, hii ni kuongezea tu kwani ni tofauti kidogo na mada,
Miaka ya nyuma watt walikuwa wanaibiwa sana especially Europe na kuuwawa na kutupwa hapo serikali ikataka kupitisha bill ya kuwawekea chip wtt wote wanaozaliwa ili eti wakipotea wajulikane walipo ndipo wananchi wakapinga na kusema watakuwa hawana Uhuru kwani watakuwa wanawaangalia mienendo yao
Unajua Mkuu kuna watu wanasubili wabandikiwe namba kwenye paj la uso,hawajuhi kuwa system ya maisha inayoendelea kwa sasa ndo namba yenyewe na kwa kias kikubw ni kwa sabab ya uviv wa kufikiri.
Unaona watu wameanza ku attack madhehebu ya watu. Mtoa mada hajataja dhehebu lolote lakini watu wameanza kukashifu madhehebu ya watu kwenye lile jukwaa hizi mada zipo sana lakini sijawahi ona watu wakishambulia madhehebu ya wengine ndo maana naona haikustahili kuwa hapa
Kila wanapotaka kuweka order mpya wanatafuta njia ya ku implement, hii ni kuongezea tu kwani ni tofauti kidogo na mada,
Miaka ya nyuma watt walikuwa wanaibiwa sana especially Europe na kuuwawa na kutupwa hapo serikali ikataka kupitisha bill ya kuwawekea chip wtt wote wanaozaliwa ili eti wakipotea wajulikane walipo ndipo wananchi wakapinga na kusema watakuwa hawana Uhuru kwani watakuwa wanawaangalia mienendo yao
Sasa hivi bado haijadhihirika wazi... Ila itafika kipindi itakuwa waziwazi....