Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
.....nadhani mleta mada atakuwa ni Msabato!
Tena masalia..
.....nadhani mleta mada atakuwa ni Msabato!
Ni mada ya kufikirisha na inahitaji uelewa mpaka la sivyo michango itakuwa ya kukejeli na kujitoa ufahamu kama wachangiaji waliongulia kuchangia, siwalaumu kwakuwa tumezoea vitu rahisi visivyofikirisha
wenye uelewa na hili watakuja na constructive ideas! Wapumbavu wasiojua na wavivu wa kujifunza watakuja na michango ya kijinga
We unafikiri mada kama zinajadiliwa na watu wa dhehebu gani kama si Wasabato...????
Lessoni zimewaharibu hawa viumbe wamekuwa kama panya hawajiamini kabisa...
Ni kweli mambo haya yapo waliosema yanaendelea dunia nzima sio kupinga kristo ni dini zote tunaoamini Mungu. Mwaka 98 walianzisha mpango wa kuwawekea microchip watu ili wapate data zako zote kama finance, health, na hata allergy, lakini nia kubwa ni kuwa control tu kama ukichukua mkopo ni lazima utalipa badala ya kutuma watu kukusanya madeni wanachukuwa kutoka kwenye data zako, hakuna kuuwa tena watu kwa risasi na gas ila they will damage your pockets and leave you to starve. Hawatafanikiwa kwani miaka ya nyuma ilikuwa ni siri zao kubwa lakini hawakutegemea hizi computer zitaficha uchafu wao na sasa unaona watu kama kina snowden wakitoa siri kila kukicha,
Ulichokiandika ni ujinga namba moja....Endekea kuishi kama panya....Na akili yako ina maji badala ya ubongo maana unasubiri wajinga wenzako waje wakujaze ujinga zaidi...
Tena yupo azuiaye ambaye ni kanisa alishanyakuliwa ndipo huyo asi yaani mpinga Kristo anatakapofunuliwa. Hivyo unyakuo wa kwanza ni wa muhimu sana tusiukose wapendwa hasa kwa wale wanaomwamini Kristo Yesu ndo watakaonyakuliwa na kwenda mbinguni.
na kama ni msabato atakuwa haielewi vizuri biblia!.....nadhani mleta mada atakuwa ni Msabato!
duu shida ninini mbona unahemkwa kama changu aliyekopwa? you are not my headache, to me u r just a cocroach!
.....nadhani mleta mada atakuwa ni Msabato!
Miaka kama 20 hivi iliyopita jarida la x-factor lilitoa makala ya mpinga kristo atakavyotawala kupitia namba ya siri, wengi hawakumwelewa yule mwandishi ambaye alisema kuwa dunia yote itatawaliwa na hiyo namba hakuna muamaka utakaofanyika bila kuwa na hiyo namba ya siri na watu hawatatembea na pesa tena, leo hii nguvu ya mpinga kristo kupitia namba ya siri imejidhihisisha kwenye kila kona ya maisha yetu, kila kitu ni password, na hii imeathiri mpaka watumishi na nyumba za ibada!
"Password" si lazima iwe namba.
Nashukuru mpaka sasa bado hajakanusha....yaelekea ni Msabato kweli!Mkuu umeniwahi.
kwa kweli..kwa hili kwa mtu anaye/atakaye changia lazima awe na uelewa mpana kuhusu mambo hayo ya 666 na antichrist.. lakin kwa mtu wa juu juu 2 utaishia kutoa pointless mixa povu.Ingekuwa jukwaa la intelligence poa sana haya mambo mazito sana yanahitaji critical thinking
wenye uelewa na hili watakuja na constructive ideas! Wapumbavu wasiojua na wavivu wa kujifunza watakuja na michango ya kijinga