Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,052
- 18,012
Hivi ni kwa nini iwe MPINGA KRISTO TU? NA SIYO MPINGA MUHAMMAD? ?
Tena wale masalia waliotaka kupanda ndege bila visa.
Kizazi za myths na hisia...Ipo siku utakimbilia msituni wewe....
Miaka ya nyuma ni.miaka gani hiyo...??? Hebu tupe huo mwaka tuufuatilie usituletee pirojo hapa...
We unauhakika watoto walikuwa wanapotea...??
Hivi ni kwa nini iwe MPINGA KRISTO TU? NA SIYO MPINGA MUHAMMAD? ?
Ni mada ya kufikirisha na inahitaji uelewa mpaka la sivyo michango itakuwa ya kukejeli na kujitoa ufahamu kama wachangiaji waliongulia kuchangia, siwalaumu kwakuwa tumezoea vitu rahisi visivyofikirisha
Kwa waandishi wa MYTH OF THE CAVE-PLATO, HOW IT WORKS NA WORLD SECRETS nao ni wasabato?
Miaka kama 20 hivi iliyopita jarida la x-factor lilitoa makala ya mpinga kristo atakavyotawala kupitia namba ya siri, wengi hawakumwelewa yule mwandishi ambaye alisema kuwa dunia yote itatawaliwa na hiyo namba hakuna muamaka utakaofanyika bila kuwa na hiyo namba ya siri na watu hawatatembea na pesa tena, leo hii nguvu ya mpinga kristo kupitia namba ya siri imejidhihisisha kwenye kila kona ya maisha yetu, kila kitu ni password, na hii imeathiri mpaka watumishi na nyumba za ibada!
Mwaka 98 sijui hata kama kilikuwa na redio wachilia mbali hizo chip unazoongelea...
Ndio maana mada kama hizi nimesema ni wajinga tuu watajadili.....Na wewe ni mmoja wao..
Ni kweli mambo haya yapo waliosema yanaendelea dunia nzima sio kupinga kristo ni dini zote tunaoamini Mungu. Mwaka 98 walianzisha mpango wa kuwawekea microchip watu ili wapate data zako zote kama finance, health, na hata allergy, lakini nia kubwa ni kuwa control tu kama ukichukua mkopo ni lazima utalipa badala ya kutuma watu kukusanya madeni wanachukuwa kutoka kwenye data zako, hakuna kuuwa tena watu kwa risasi na gas ila they will damage your pockets and leave you to starve. Hawatafanikiwa kwani miaka ya nyuma ilikuwa ni siri zao kubwa lakini hawakutegemea hizi computer zitaficha uchafu wao na sasa unaona watu kama kina snowden wakitoa siri kila kukicha,
siri gan.......hamtajiendeleza mtabak kuamin ujinga tu
Kujiendeleza kivipi kimaisha au, sijaelewa, unatukana au unachangia mada hizo siri unauliza za snowden ina maana huzijui, pls hapa ni majadiliano tu unapomwita mtu mjinga na humjui inakuwa vigumu kukuelewa uko katika society gani
Hivi unaishi dunia gani unajua kuwa microchip invented in 1958? Kwa nini unaleta ubishi wa kitt I bet you're under 21 that's why hebu jifunze namna ya kujibu hoja na watu wazima ok
Hivi unaishi dunia gani unajua kuwa microchip invented in 1958? Kwa nini unaleta ubishi wa kitt I bet you're under 21 that's why hebu jifunze namna ya kujibu hoja na watu wazima ok
Kila kitu kina elimu yake na utaalamu wake. Huwezi na wala hakuna binadamu mwenye uelewa au ujuzi wa mambo yote kwa kiwango cha kujitosheleza.
Namba ya siri kwa wale wakristo nafikiri inaongelewa 666. Kwenye Ufunuo au kitabu cha Daniel, imeongelewa kama maono vitu vitakavyotokea baadae. Tatizo ni kila mtu anavyojaribu kuuelezea ufunuo huo kwa jinsi yake yeye. Hadi leo hii kuna watu wengi sana wamekuja na utitiri wa tafsiri ya hiyo namba ya siri (666).
Kama nimekuelwa vizuri mshana jr, dunia yote sasa hivi tunaelekea kwenye cash less (Mfumo usiohitaji kuwa na fedha taslim) ili kufanya manunuzi. Kama tunavyoona teknolojia imerahisisha mambo ya ATM, Internet Banking, Mobile Banking n.k. Niliwahi kusoma mahali mtaalamu mmoja akielezea kwamba kutokana na uhalifu wa mitandaoni kushamiri, itafika kipindi mapendekezo itakua ni kutumia Bio-metric ID, ikimaanisha kwamba badala ya kuwa na kadi au password, ntaweka kidole, kiganja au ntaangalia kwenye chombo kitakachotumia jicho langu kunitambua ili kufanya transaction.
Kwa mujibu wa mtalaamu huyo, utaratibu huo utaendelea na patakua na mambo ya ajali kwamba mtu anaweza kupata ajali akakatwa mkono na akawa anaendelea kuishi itakuwaje? na hapo ndio inatuja suluhisho la kuwekewa microchip kichwani.
Kama sikosei miongoni mwa mapendekezo ya mpango wa afya marekani ulikua na kifungu cha kuwekewa chip kwa wahusika ila haukupata uungwaji mkono.
Najua yataongelewa mengi sana kuhusu 666, kwa wale wa imani ya kikristo, maandiko yanasema hiyo namba itakapoanza kulazimishwa kwa watu, wateule watakua wameisha nyakuliwa. Jambo la msingi kama alivyosema Bujibuji, ni kutengeneza maisha yetu badala ya kuhangaika na 666 kitu ambacho wako wtakokufa hata kabla ya hiyo namba kuanza kutumika licha ya ukweli kwamba hakuna hata mmoja wetu ajuaye kwa uhakika kwamba itakua ni kitu gani na itafanyaje kazi.
Wafuasi wa mama Hellena mmelogwa kweli kweli.....