Namaliza degree mwezi ujao, nitaenda wapi?

Namaliza degree mwezi ujao, nitaenda wapi?

Jamaa kaongea ukweli kabisa hasa kumaliza chuo bila akiba. Mim mwenyewe nilimaliza nikiwa na elfu 15 tu. Mpaka leo hicho kitendo nakijutia sana na ndo kinachonitesa, kwa sasa nipo Dar kwa ndugu nilitegemea nitapata michongo ya kaz kumbe hakuna mtu mwenye time na wewe nimeishia kufanys kaz za nyumbani:🙁
avatar190517_3.gif
 
hahahaaaa....Jf Nouma .

Hata hapa ana kazi ya kuchambua wazo zuri na baya....
 
kwn ww ulitaka uende wap???au huna kwenu???zamia uende sauz ukafe ndoooroooboooo ww
 
karibu masikani nikutafutie bodaboda.
 
Wadau mimi nasoma Bachelor of accountancy chuo flani jijini Dar, kama mnavyojua tatizo la ajira ni kubwa sana na sitegemei kupata kazi kirahisi (hii ni kutokana na kuwa na matokeo mabovu).

Nilikua nafaidika na mkopo wa HESLB lakini sikufanikiwa kusave hata 100. Hela zote nlimalizia kwenye starehe na matumizi binafsi sasa nimebakiza mwezi mmoja nirudi kwetu Arusha.

Najiuliza zaidi ya maswal 100

  1. Mtaani nitapaweza?
  2. Ajira ntapata?
  3. Ukisema nijiajiri capital ntapata wap?
  4. Wazazi nyumbani wanadhani mimi ni jembe ndo ntawakomboa home. Je, watanielewaje wakiniona jobless pale home?
  5. Girl friend wangu kanambia nisipomuoa baada ya miaka miwili anapita hivi... Je, nitaweza kuoa??
  6. Na maswali mengine kibao

Ushauri
Jamani kuna yoyote alishapitia hii stage na alijikwamua vipi?

Najua utakua IFM hapo hapawafai nyie watto wa Mkoa,na Shukuru unamaliza chuo hapo ndo kambi ya kudisco Tz watu wanadisco mpaka semister ya mwisho,majua saiz ZAWADI anakuenyesha kwenye MANAGEMENT ACCOUNTING
 
Mkuu ahsante tukijaliwa salama kesho nitakutafuta unipatie namba yake nikajionee nijifunze nami nikaanze kwangu.

Jana nilipita shamba nikamwona jamaa, ndio wameshaotesha na kazi ya umwagiliaji imeanza, ni vizuri ukapata nafasi ya kujifunza kwa jamaa kwa macho yako, halafu anapovuna, na wewe unafanya kwa vitendo.
 
Jina gumu, nilikua nasubiri ruksa yako mkuu
 
Elfu hamsini unaweza kuwa tajiri jitahd usave hiyo then untafute
 
we unataka tukushaur au tukufariji.....
kwanza kuendekeza starehe wkt unajua mrad mkubwa baba yko anaomiliki n mashamba..nenda akuajir
we utakua umemaliza IFM bila shaka
 
Najua utakua IFM hapo hapawafai nyie watto wa Mkoa,na Shukuru unamaliza chuo hapo ndo kambi ya kudisco Tz watu wanadisco mpaka semister ya mwisho,majua saiz ZAWADI anakuenyesha kwenye MANAGEMENT ACCOUNTING

hahaha, umenifurahisha sana muheshimiwa. ifm sio pakuchezea asee..no guarantee at all na zawadi kawa shida awamu hii...
 
Jana nilipita shamba nikamwona jamaa, ndio wameshaotesha na kazi ya umwagiliaji imeanza, ni vizuri ukapata nafasi ya kujifunza kwa jamaa kwa macho yako, halafu anapovuna, na wewe unafanya kwa vitendo.

Mkuu nashkuru ila ratiba Yang ilibana sana najua jamaa yuko kule permanent nikiwa natafuta uelekeo nitakuomba namba yake.
 
Back
Top Bottom