Warren.T
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 900
- 318
We rekebisha kauli hapo juu me ni Dada..
Ohhhh my God!!.....Jamii forum rahaa tupu!!
We rekebisha kauli hapo juu me ni Dada..
Ohhhh my God!!.....Jamii forum rahaa tupu!!
hahahahaha sasa lawyer umekua amicus curiae wa logistics?asee...
mkuu nmekuelewa sana, mimi nilichosomea chuo na nnachofanya saa hizi...
yerewiiiiii....ni tofaut kabisa, havina hata muuinguliano....!!!!
we sheria na logistic wap na wapi, huuu huu huu
sheria tupa kule, watu tunapiga logistic na mausha yanaenda vizuriiii town apa
Wadau mimi nasoma Bachelor of accountancy chuo flani jijini Dar, kama mnavyojua tatizo la ajira ni kubwa sana na sitegemei kupata kazi kirahisi (hii ni kutokana na kuwa na matokeo mabovu). Nilikua nafaidika na mkopo wa HESLB lakini sikufanikiwa kusave hata 100. Hela zote nlimalizia kwenye starehe na matumiz binafsi sasa nimebakiza mwezi mmoja nirudi kwetu Arusha.
Kiukweli UMECHAFUKWA. Matokeo mabovu, mkopo umetumia kwa starehe - unakumbuka shuka kumekucha? Jipange upya, maisha ni kupambana na si kukata tamaa.
Ukimaliza Chuo na ukaona hakieleweki, njoo Mkuranga tulime matikiti. shamba lipo. Mtaji ni nguvu zako za kusombelea maji.