Kobe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 1,793
- 815
Haya mkuu, jitahidi.
Ahsante mkuu nimeku pm
Haya mkuu, jitahidi.
Jina gumu, nilikua nasubiri ruksa yako mkuu
Ahsante mkuu nimeku pm
Wadau mimi nasoma Bachelor of accountancy chuo flani jijini Dar, kama mnavyojua tatizo la ajira ni kubwa sana na sitegemei kupata kazi kirahisi (hii ni kutokana na kuwa na matokeo mabovu).
Nilikua nafaidika na mkopo wa HESLB lakini sikufanikiwa kusave hata 100. Hela zote nlimalizia kwenye starehe na matumizi binafsi sasa nimebakiza mwezi mmoja nirudi kwetu Arusha.
Najiuliza zaidi ya maswal 100
- Mtaani nitapaweza?
- Ajira ntapata?
- Ukisema nijiajiri capital ntapata wap?
- Wazazi nyumbani wanadhani mimi ni jembe ndo ntawakomboa home. Je, watanielewaje wakiniona jobless pale home?
- Girl friend wangu kanambia nisipomuoa baada ya miaka miwili anapita hivi... Je, nitaweza kuoa??
- Na maswali mengine kibao
Ushauri
Jamani kuna yoyote alishapitia hii stage na alijikwamua vipi?
Wakati :
- Unajiunga Na Hicho Chuo Ulimshirikisha Nani?
- Ulipokuwa Unajishebedua Na Kuwatambia MAPOPOMA Mtaani Kwenu Kuwa Unaenda University Ulijua Kuwa Ukimaliza Hayo Masomo Yako Utaenda Wapi?
- Nani Kakuambia Kuwa Ukisoma Chuo Kikuu Ndiyo Kigezo Cha Kupata Kazi / Ajira Hapa Bongoland?
- Leo Unauliza Capital Utapata Wapi ILA Ulivyokuwa Unatumbua Pesa Ya Boom Na Huyo Demu Wako Ulitushirikisha MAMENTALI?
- Ili Wazazi Wako Wasikuone Mzigo Kitaa Ni Bora Uanze Kubeba Zege Huko Huko Ulipo Ili Uanze Kujipatia Pesa Na Ujipange.
- Kutuambia Sisi Masuala Yako Na Demu Wako Ni Kama Unatutusi Kwani Mbona UNAPOMBANDUA Huwa Hutushirikishi MASELA?
Tanzania ni yetu sote,
Ajira zimekuwa za baadhi ya watu. (Wengine wanashindia bahati tu)
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote. Namtegemea yeye milele!
Asante Mungu na mimi natia naga hili jahazi langu la elimu July hii.
All is well, tunatamani kujiajiri sana ila ndo hivyo lazima tutafute experience ya mambo flani flani kwanza kwenye kuajiriwa...
Nitaitafuta kazi ya fani yangu kokote iliko..:A S-rose::A S-rose:
Mkuu Excel jeshini vipi tena ndo umewapotezea.
Wakati :
- Unajiunga Na Hicho Chuo Ulimshirikisha Nani?
- Ulipokuwa Unajishebedua Na Kuwatambia MAPOPOMA Mtaani Kwenu Kuwa Unaenda University Ulijua Kuwa Ukimaliza Hayo Masomo Yako Utaenda Wapi?
- Nani Kakuambia Kuwa Ukisoma Chuo Kikuu Ndiyo Kigezo Cha Kupata Kazi / Ajira Hapa Bongoland?
- Leo Unauliza Capital Utapata Wapi ILA Ulivyokuwa Unatumbua Pesa Ya Boom Na Huyo Demu Wako Ulitushirikisha MAMENTALI?
- Ili Wazazi Wako Wasikuone Mzigo Kitaa Ni Bora Uanze Kubeba Zege Huko Huko Ulipo Ili Uanze Kujipatia Pesa Na Ujipange.
- Kutuambia Sisi Masuala Yako Na Demu Wako Ni Kama Unatutusi Kwani Mbona UNAPOMBANDUA Huwa Hutushirikishi MASELA?
Du!! Kwamba aanze kubeba Zege???
huo uhuni wake utamkost
mi nimemaliza chuo nimenunua kila kitu cha kuanzia maisha na namshukuru mungu nilijipanga nainhiaje
namshauri arudi home akaoshe vyombo
huo uhuni wake utamkost
mi nimemaliza chuo nimenunua kila kitu cha kuanzia maisha na namshukuru Mungu nilijipanga nainhiaje
namshauri arudi home AKAOSHE VYOMBO
wewe si ke unahongwa acha ubwege wewe
wewe si ke unahongwa acha ubwege wewe
FOREVER LIVING
COMPANY
Je!! Kuna mtu unamfahamu
1. Anatafutampango kazi utakaomwezesha kustaafu miaka 5-10 akiwa na kipato maradufu?
2. Anatafuta njia ya kuongeza kipato cha ziada?
3. Ni mama na ungependa kukaa nyumbani na kulea watoto huku ukitengeneza kipato kizuri?
4. Ni mwanachuo unayetafuta njia mbadala ya kutafuta kipato kizuri?
Tuwasiliane; 0768 577 654
email; izackmanase@gmail
.com
fb : www.facebook.com//
Izack Manase
SAMBAZA UJUMBE HUU KWA WALENGWA UNAOWAFAHAMU. UWAOKOE NA UMASKINI ILI WATIMIZE NDOTO ZAO.