Namaliza degree mwezi ujao, nitaenda wapi?

Namaliza degree mwezi ujao, nitaenda wapi?

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
Wadau mimi nasoma Bachelor of accountancy chuo flani jijini Dar, kama mnavyojua tatizo la ajira ni kubwa sana na sitegemei kupata kazi kirahisi (hii ni kutokana na kuwa na matokeo mabovu).

Nilikua nafaidika na mkopo wa HESLB lakini sikufanikiwa kusave hata 100. Hela zote nlimalizia kwenye starehe na matumizi binafsi sasa nimebakiza mwezi mmoja nirudi kwetu Arusha.

Najiuliza zaidi ya maswal 100

  1. Mtaani nitapaweza?
  2. Ajira ntapata?
  3. Ukisema nijiajiri capital ntapata wap?
  4. Wazazi nyumbani wanadhani mimi ni jembe ndo ntawakomboa home. Je, watanielewaje wakiniona jobless pale home?
  5. Girl friend wangu kanambia nisipomuoa baada ya miaka miwili anapita hivi... Je, nitaweza kuoa??
  6. Na maswali mengine kibao


Ushauri
Jamani kuna yoyote alishapitia hii stage na alijikwamua vipi?
 
teh teh teh ukikosa pesa ndio akili itavia ya kutafuta pesa hapo ndio raha
 
Matokeo mabovu...ni matokeo ya kuendekeza starehe hali ukijijua wewe ni mwanachuo..umepanda mbaazi umevuna mbaazi
 
Mh!!!! Hivi maelezo Yako hayo, wategemea msaada gani haswa....??? Wasomi wa bongo
 
Yaingie tu maisha hukohuko kitaeleweka kwani najua kuwa una ndoto kichwani mwako ambazo ndio kiongozi wako wa huko unakotaka kuwa,mtangulize Mungu kwa kila jambo utafanikiwa tu.
 
.. na sitegemei kupata kazi kirahisi(hii ni kutokana na kuwa na matokeo mabovu)...nilikua nafaidika na mkopo wa tcu lakini sikufanikiwa kusave hata 100 hela zote nlimalizia kwenye starehe na matumiz binafsi...sasa nimebakiza mwezi mmoja nirudi kwetu Arusha

1. Kwa uandishi huu, na mawazo hayo halafu unategemea upate positive "advisors", sidhani!

Niseme wazi, this is a forum!Hakuna limitation ya kupata comment unayotaka wewe tu!

Pili, Hivi unategemea ulivyo pessimistic kama hapo juu nani atakuwa optimistic kwako?

Tatu,Sidhani kama thread hii umeandika kwa nia ya 'dhati', and if yes weka jukwaa sahihi.

Nne, Tafuta thread moja iliyoandikwa "Graduate mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi, pitia comment moja moja"

Mwisho, 'Utavuna ulichokipanda'.
 
Hata ungekuwa na matokeo mazuri+ucngeendekeza umalaya ajira hamna, ww ndo utengeneze ajira.
 
Ili ufanikiwe you need to think positive

Hapo wewe umeshakata tamaa kuwa hakuna ajira mbaya zaidi hata capital ya Idea tu hauna hata ukipata money capital hutaweza kufanya kitu

Badili mtazamo kwanza
Fikiria Chanya na si hasi kamwe usiogope maisha ya kitaa..

Ni mtazamo tu
 
Weee maishaa yakikuzingua kitaaa achananayooo fanya kitu ingineeee…
 
Yaingie tu maisha hukohuko kitaeleweka kwani najua kuwa una ndoto kichwani mwako ambazo ndio kiongozi wako wa huko unakotaka kuwa,mtangulize Mungu kwa kila jambo utafanikiwa tu.

shukrani kk
 
Anzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji ntaji mdogo tu waweza kuanza na kuku 2 nakuendelea nakuhakikishia hio njia niyautajiri. Peleleza na ufuatilie kwenye mitandao (google sachi)upate muongozo wa kufuga kuku
 
Hongera mkuu, kawaida hiyo, kuna wengi tu kama wewe, watafutw muunde team mawazo.
 

Attachments

  • 1433270515370.jpg
    1433270515370.jpg
    25.2 KB · Views: 652
Back
Top Bottom