On the move
Senior Member
- Jul 10, 2015
- 124
- 32
Kama unaweza beba gunia la mazao kg 100 nitafute hela utapata na maisha yatasonga .
FOREVER LIVING
COMPANY
Je!! Kuna mtu unamfahamu
1. Anatafutampango kazi utakaomwezesha kustaafu miaka 5-10 akiwa na kipato maradufu?
2. Anatafuta njia ya kuongeza kipato cha ziada?
3. Ni mama na ungependa kukaa nyumbani na kulea watoto huku ukitengeneza kipato kizuri?
4. Ni mwanachuo unayetafuta njia mbadala ya kutafuta kipato kizuri?
Tuwasiliane; 0768 577 654
email; izackmanase@gmail
.com
fb : www.facebook.com//
Izack Manase
SAMBAZA UJUMBE HUU KWA WALENGWA UNAOWAFAHAMU. UWAOKOE NA UMASKINI ILI WATIMIZE NDOTO ZAO.
Ndugu wanajamvi poleni na majukumu!!!Wadau mimi nasoma Bachelor of accountancy chuo flani jijini Dar, kama mnavyojua tatizo la ajira ni kubwa sana na sitegemei kupata kazi kirahisi (hii ni kutokana na kuwa na matokeo mabovu).
Nilikua nafaidika na mkopo wa HESLB lakini sikufanikiwa kusave hata 100. Hela zote nlimalizia kwenye starehe na matumizi binafsi sasa nimebakiza mwezi mmoja nirudi kwetu Arusha.
Najiuliza zaidi ya maswal 100
- Mtaani nitapaweza?
- Ajira ntapata?
- Ukisema nijiajiri capital ntapata wap?
- Wazazi nyumbani wanadhani mimi ni jembe ndo ntawakomboa home. Je, watanielewaje wakiniona jobless pale home?
- Girl friend wangu kanambia nisipomuoa baada ya miaka miwili anapita hivi... Je, nitaweza kuoa??
- Na maswali mengine kibao
Ushauri
Jamani kuna yoyote alishapitia hii stage na alijikwamua vipi?
Wakat naandka hii post nlikua nmelewa. ..nmeiona leo nlikua hata sikumbuk...nachoshukuru nmepata ajira week hii take home 800. ...nitaitumia kwa busara zote sitarehe za kijinga ctoziendekeza tena