jamani masai dada msaidie ni mdogo wako huyo wa arachuga. mm nimemuonea huruma na nimemkubali kwa kuongea ukweli kuhusu maisha yake ya chuo. namshauri suala la girl friend wake lisimuumize sana kichwa apambane tu kutafuta ajira japo ya kujitolea kwn NGOs au makampuni binafsi
Mie naomba kakibanda ka kuweka kuku tu..
Malila mkuu naomba unialike nifanye ziara ya kujifunza hicho kilimo cha matikiti maji.
Mkuu naomba kujiunga nawe Tafadhali..M-jf mwenzio keshatia timu shambani kwangu analima tikiti, nitafute kesho ili nikupe simu yake akualike ukaone kwa macho.
M-jf mwenzio keshatia timu shambani kwangu analima tikiti, nitafute kesho ili nikupe simu yake akualike ukaone kwa macho.
olewa!