mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,734
Tangaza nia mkuu
mbona wanitishia tena hyo thread iko jukwaa lipi?
Tangaza nia mkuu
By the way nilikua napenda kubrowse kwenye mitandao zoom etc etc nilianza kuapply kazi week 1 baada ya kumaliza chuo, kuna makampuni mengi sana yanataka wahasibu makubwa kwa madogo
Hongera mkuu, kawaida hiyo, kuna wengi tu kama wewe, watafutw muunde team mawazo.
Ukitaka kujua utamu wa ngoma, ingia nawe uicheze
Zile kazi unazoziona, ni kazi hewa wahuni wamekuwa wengi sana
Nenda jeshini
11 months ago nilikua kama ww lakini sikua na mawazo kama yako of course matokeo yangu yalikua ni yakawaida, nilianza hustle mapema sana bado nikiwa chuo thn after 4months nilipata kazi japo malipo kidogo sana.
So cha kushauri ingia mtaana ukikwa na POSSIBILITY THINKING, I believe kuna siku mambo yatakuwa sawa. Wakat mwingine usichague kazi ww pga tu kazi yyte iliohalali hata kama is not within your professional.
Remember,
"TOUGH TIMES NEVER LAST, BUT TOUGH PEOPLE DO"