well mummy pole sana na imani utakuwa unawakilisha wanawake wengi tu kuliko unavyofikiria mimi mwneyewe niko kwenye ndoa mummy but will tel u one thing.
KILA WANANDOA WANA MATATIZO YAO YA AINA YA KIPEKEE AU YANOYAFANANA NA NDOA ZINGINE lakini jinsi ya kuyatatua hakuna kanuni kila mmoja ana njia zake ila matokeo tu ndio yanayofanana aidha kuachana au kusonga mbele.
Pili may b am not a good adviser, bcoz for me my happiness kwanza kabla ya kitu chochote not even a child.kwa maneno mengine ni kwamba siwezi teseka kwa mume wangu nikavumilia kashfa na manyanyaso kisa eti tuna watoto tukiachana watateseka, but at the same time watu wanasahau pia watoto kuwa kwenye nyumba ambayo haina furaha ni wanateseka pia kwasababu wazazi saa zote wanakuwa kwenye moods mbaya.
mummy life is too short na miaka hairudi nyuma darlin inakwenda mbele na ndivyo unavyozidi kuzeeka , yanini yeye ale raha na huyo kishanshuda anayempa raha wewe ndo uteseke? bibi angalia hamsini zako na ukiwa unatafakari hilo weka furaha yako mbele kwanza kuliko chochote.
najua mtaniiita 'selfish' niiiteni tu
JAMANI MBONA MNACHANGIA BILA YA KUJUA LILILOMSIBU?au kaaambiwa aruke ukuta kashindwa?au kafumaniwa anapiga kinanda chobingo
hahahhaha well kishanshuda ni kududu mtu kinachosababisha ufukunyuku kwa wapendanao ......Duh...haya majina/maneno mengine hata sijui yana maanisha nini
Kuna mtu mwenyen kamusi karibu aniazime?
Utakuwa mmachame.......kaam sio basi M meruwell mummy pole sana na imani utakuwa unawakilisha wanawake wengi tu kuliko unavyofikiria mimi mwneyewe niko kwenye ndoa mummy but will tel u one thing.
KILA WANANDOA WANA MATATIZO YAO YA AINA YA KIPEKEE AU YANOYAFANANA NA NDOA ZINGINE lakini jinsi ya kuyatatua hakuna kanuni kila mmoja ana njia zake ila matokeo tu ndio yanayofanana aidha kuachana au kusonga mbele.
Pili may b am not a good adviser, bcoz for me my happiness kwanza kabla ya kitu chochote not even a child.kwa maneno mengine ni kwamba siwezi teseka kwa mume wangu nikavumilia kashfa na manyanyaso kisa eti tuna watoto tukiachana watateseka, but at the same time watu wanasahau pia watoto kuwa kwenye nyumba ambayo haina furaha ni wanateseka pia kwasababu wazazi saa zote wanakuwa kwenye moods mbaya.
mummy life is too short na miaka hairudi nyuma darlin inakwenda mbele na ndivyo unavyozidi kuzeeka , yanini yeye ale raha na huyo kishanshuda anayempa raha wewe ndo uteseke? bibi angalia hamsini zako na ukiwa unatafakari hilo weka furaha yako mbele kwanza kuliko chochote.
najua mtaniiita 'selfish' niiiteni tu
hahahhaha well kishanshuda ni kududu mtu kinachosababisha ufukunyuku kwa wapendanao ......
Utakuwa mmachame.......kaam sio basi M meru
mmh! leo naona umaniamulia...haya ngoja nipumzike. yaani mtu ukiomba mkate unapewa jiwe?🙁
...😀 Kaizer ha ha haaa... pole sana kaka, kubwa kuliko hayo ni maneno yanayoendana na lafudhi za pwani!
hahhaha Yo Yo mchungaji hapo umekothea kabthaaaaa maana ni mmakonde challee wa kulekule nchumbijiiiUtakuwa mmachame.......kaam sio basi M meru
Kaizer,mmh! leo naona umaniamulia...haya ngoja nipumzike. yaani mtu ukiomba mkate unapewa jiwe?🙁
atapekua na nini na viganja vina superglue?dogo iyo sample moja tu apo inakufanya ufanye conclusions? pekua pekua kidogo lol
Kaizer,
sio hivyo kaka yangu ila nilikuwa na jazba tu maana hao watu siwapendi kwenye maisha yangu, ila vishanshuda ni wale vizabizabina wanaoleta kero kwenye mahusiano ya watu.
Mpwa usimtupie lawama huyu jamaa, maana ujasikiliza kwa upande wake,umesikiliza upande mmoja tu.Unajua wanawake nao saa nyingine wanakuwa na mambo ya ajabu ajabu sana ambayo mwanaume huwezi kuyavumilia.
Pia na muona Mwanajamii ni mlalamishi sana,kila tatizo linalotokea ndani ya ndoa yake,badala ya kulisort out na mumewe ana anakuja hapa na kudai analivua pendo da*n******** mwanamke unapaswa kuwa mvumilivu.
atapekua na nini na viganja vina superglue?
mhhhh hapo mwana namaanisha viconcubine ,ze nyumba ndogo bwana weee acha tuuu. ndo maana kwenye vi-chicken party vya siku hizi wanasema sometimes mke watakiwa uwe ashakum si matusi jamani 'malaya' kwa mumeo umpe mapigo yote usimbbanie ukimbbania vinshashuda wataaachia ndo hapo utapolia na mito weeee mpaka inalowaUsijalia, nimekupata sasa asante. ndo kusema ni the likes za nyumba ndogo au ni wafitini tu (haijalishi kama wana mahusiano ya kimapenzi au la)
mhhhhh weeee naweeeeeeeee?...........Wengine wanapekuwa kwa midomo siku hizi, husije danganyika kuona vinganja vina superglue ukafikiri hawezi kupekua
Wengine wanapekuwa kwa midomo siku hizi, husije danganyika kuona vinganja vina superglue ukafikiri hawezi kupekua
mhhhh hapo mwana namaanisha viconcubine ,ze nyumba ndogo bwana weee acha tuuu. ndo maana kwenye vi-chicken party vya siku hizi wanasema sometimes mke watakiwa uwe ashakum si matusi jamani 'malaya' kwa mumeo umpe mapigo yote usimbbanie ukimbbania vinshashuda wataaachia ndo hapo utapolia na mito weeee mpaka inalowa