Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 49
Dada yamenikuta sina hata nguvu ya kusema........ huweziamini hapa niko natiririkwa na machozi ka bomba la mvua! Sijui nifanye nini wala nianzie wapi!
Pole sana dadaake,haya ndo maisha ndugu yangu na huu ndo ukubwa.Kama nilivyosema hapo mwanzo bado umakini unatakiwa,pia angalia sana hisia zisitawale maamuzi yako.Busara na uhalisia wa mambo utawale maamuzi yako kwani wewe ndo unajua umeumia kiasi gani na penzi lako limeharibika kiasi gani unajua vizuri wewe.Muhimu zaidi,jipe muda ili uweze kuzichambua option zote zilizopo.Na mwisho kabla haujaamua kulivua pendo ni vizuri ukawashirikisha waliokutangulia kuliona jua.