mtu ukishafikia maamuzi hayo ni kwamba ni kweli umechoshwa na hutakiwi kugeuka nyuma milele....kama kitu kimekushinda/kuchosha kwanini ung'ang'ane tu?
Mtu yeyote aliyepita miaka 18 kubadilika ni hatua ngumu, sio rahisiWengi hujipa moyo ipo siku atabadilika ndio mana anang'ang'ania tuuuuuuuuuu
Unafanya kosa unaposema why mimi tu? Ukisimuliwa ya wengine ya kwako yana nafuu. Jambo muhimu ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Every thing happen for a purpose.Ndahani nashukuru kwa kunipa moyo ila mh maana kama kuvumilia ni mwngi nimevumilia lakini mwishoni naona nashindwa. kwa nini mimi tu, mimi tu niwe nabembeleza kila siku hata kama makosa kafanya yeye?
mimi tu niwe naumia kwa sabau yake?... kwa nini mimi tu ndo niwe nahangaika to make it work? ... mimi tu why mimi tu? jamani ah
King'asti umetokapi kwenye hii sredi ya 2009? Hata twende kanisani haraka
Ndahani nashukuru kwa kunipa moyo ila mh maana kama kuvumilia ni mwngi nimevumilia lakini mwishoni naona nashindwa. kwa nini mimi tu, mimi tu niwe nabembeleza kila siku hata kama makosa kafanya yeye?
mimi tu niwe naumia kwa sabau yake?... kwa nini mimi tu ndo niwe nahangaika to make it work? ... mimi tu why mimi tu? jamani ah
jambo gani limekukuta ni vizuri ukaeleza ukweli tukusaidie kwa ushauri na si kulalama tu bila kuonyesha kwa watu jambo halisi sisi hatuwezi kukushauri kupitia hisia zako ambazo umeshindwa kuzitafsiri kwa maelezo..Dada yamenikuta sina hata nguvu ya kusema........ huweziamini hapa niko natiririkwa na machozi ka bomba la mvua! Sijui nifanye nini wala nianzie wapi!
Wakti huo JF ilikuwa poa sanaDah.... Uzi wa zamani sana huu. Nimeusoma lakini hata sikumbuki ni maswahibu gani yalinikuta. Naona mods wameedit mpk umekosa maana.
Wakti huo JF ilikuwa poa sana
King'asti umetokapi kwenye hii sredi ya 2009? Hata twende kanisani haraka
Dah.... Uzi wa zamani sana huu. Nimeusoma lakini hata sikumbuki ni maswahibu gani yalinikuta. Naona mods wameedit mpk umekosa maana.
Acha kabida mkuu, saiv JF imeharibiwa na division 5....
Hope now umepata mtu sahihi eeh. Ndugu yangu we walitwambia wahenga kua uyaone... na leo ninayaona ah!
Sina cha kusema mie yaani hapa kila kitu kizito! Akili haifanyi kazi, moyo unaniuma yet nimeshindwa mie ......
Kaizer mpwa upo ............hebu nihabarishe kule pm tafdhali
duuu kwani charminglady wewe ndiye ..........πππ nami nimerudishwa mbaaaaaaali mno na sredi hili
yeah those were the dayz ..............nisalimie #marafiki