Nalivua pendo...

Jamani, sielewi hapa imekuwaje, mbona mie sijaandika haya?
Hapa ulichangia kipindi cha Mwanajamiione, kwasababu leo anaehusika ni charminglady ndo jina limebadilika likaandikwa la mhusika wa leo, maana kuna kitu niliona Mwanajamiione aliandika irudishe ulikoitoa na wewe ndo ulimjibu nadhani kipindi hicho,
 
Sasa kwa nini wananibadilishia niliyemmensheni? Je kama wakinigonganishia magari si nitaachika?

Hapa ulichangia kipindi cha Mwanajamiione, kwasababu leo anaehusika ni charminglady ndo jina limebadilika likaandikwa la mhusika wa leo, maana kuna kitu niliona Mwanajamiione aliandika irudishe ulikoitoa na wewe ndo ulimjibu nadhani kipindi hicho,
 
Unajua hata mie nilipoona nilishangaa, ila nikapotezea. make hiyo ilikuw 2012 ila sijui uliquote nini au ulimaanisha nini??

I am not pyschic kujua utaanzisha sred hii, nisaidie kushangaa na kupotezea kwa kweli.

hehehe, wewe wewe! natafutaje sasa nikusome umekurupukia wapi kujibu hivyo sikupati.

Eti wamebadili niliyemmensheni, sasa si watakuwa wana-edit post zetu bila sie kujua?
 
I am not pyschic kujua utaanzisha sred hii, nisaidie kushangaa na kupotezea kwa kweli.



Eti wamebadili niliyemmensheni, sasa si watakuwa wana-edit post zetu bila sie kujua?

kwanza labda tujue nani kabadili? mie hapa nimebaki nabung'aa tu.
 
Hahahaaa...
Au unavaa huku una la spea mahali....yaani unavua gamba unavaa gwanda...:becky:

Wengine wanaita backup ,tanesco wakikata tu umeme wao fasta automatic generator linawaka.........

dah teknologia nzuri sana
 

pengine wengi tuna dhani hili tuwe na furaha tuna hitaji watu wengine wakutusaidia kupata furaha.

Kumbe tuna sahau kuwa uzuni na furaha uko mikononi mwetu wenyewe na wala hatuhitaji msaada wa mtu kuvipata.
 
Last edited by a moderator:

hili uwe strong una hitaji kufamu kuwa swala la furaha yako haliko mikononi mwa mtu mwingine zaidi yako.
 
Jamani, huyu anayekwenda kufukua makaburi na kutukumbusha mbali hivi ni nani tenaaaa???

OMG, that was 2009, and MMU was like "i dont wanna miss a thing""


Miss old Gold!!
 
@chaminglady unaonaje ukivikwa bila kuvua....:A S 39:

 

umenena vyema sana kuu! Kitufe cha like mbona kama sikioni!
 
Sasa mpenzi nakuja tuvue....tuvue pendo....tuvuliane...tuvuliane pendo...:car::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Siwezi vua kamwe mpnz.......wajua kwako nimefika .......
 
Jambo la kwanza kubali kuwa umeshindwa wewe na ridhika na huo ukweli.Be positive thinker, pata muda wakutosha kutafakari future yako kisha uanze upya.USIWE NA PAPARA. For me, naamini THERE IS ALWAYS SECOND CHANCE. Nivema kufocus on future, yazamani yaache tu km historia (HUKU YAKIKUPA NGUVU ZA KUSONGA MBELE kwakuwa ni ngumu sana kusahau kila kitu). Utapata tu atakayekuridhia. KUKAA NA KUMUWAZA MTU ASIYEKUHITAJI NI UJINGA hata kama umempenda SANA kiasi chakuweza kuutoa uhai wako kwaajili yake. Maisha hayana budi kuendelea!!ILA usisahau kumuomba MUNGU akuongoze!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…