Am telling you you are very very right.
Haikuwa rahisi kabisa but nimesonga mbele dadangu
(Haya irudishe upesi ulipoifukua hii thread)
Kwa hiyo sasa hivi hujavaa?
Au umevaa ukiwa tayari kuvua.....
Anyway....hiyo dedication ya GY ndo mahali pake.....
😎 thredi ina miaka mitatu....
Kuvaa ukisubiria kuvua ndo mpango mzima. Nani anataka surprise? Ukiona paka analia nyau ujue kaona samaki, na mbwa akitikisa mkia tu unaangalia macho yake yalipo
Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....
Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)
Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema
Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh
Pole, baada ya muda utagundua ni good riddance baada ya kumpata bora kuliko huyo kichomi
Hilo pendo lake ulilivaa au ulivalishwa?
Mtumikie Mumba wako siku za ujana wako.Kwa Mungu ndiyo kuna raha ya milele na siku zote hutapungukiwa na kitu.