Nalipwa 500,000/=(laki tano) kwa mwezi, unanishauri niwekeze wapi?

Asalaam wakuu.

KUfupisha uzi.

Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu).

Umri wangu 20's.

Naomba ushauri niwekeze pesa yangu wapi ili niongeze kipato changu.

Mwanzo niliwaza nijichange ninunue pikipiki ya boda nimpe mtu aniletee hesabu , sijui kwenu imekaaje hii?

Naombeni ushauri wenye manufaa wakuu.
Kijana wa Kilambas na Bi Mchafu, hiyo hela kufanyia biashara ni ngumu sanasana utaipoteza. Badala yake sasa anza kufanya saving angalau ifike 2M ndio utafute shughuli nyingine.
Ujasiriamali wa mtaji mdogo unataka muda ambao wewe huna, na una changamoto nyingi usifanye kujilipua ile unaweka hela ikitokea hasara kidogo unapoteana unaanza upya kutafuta mtaji
 
Shukran sana kijana wa Vimbuzi.
 
Ukiwa na kuanzia 5m njoo uwekeze kwenye biashara yangu
Nakupa faida ya 10% Kila baada ya miezi mitatu siku ukihitaji hela yako unanipa pia mieizi mitatu ya kuitoa kwenye mzunguko
Imekaa vzr lakini duh kuaminiana siku hz ni mtihani
 
Na saving yenyewe isiwe katika benki bali mahali ambapo hiyo saving itaingiza riba kuliko benki. Utt.
 
Imekaa vzr lakini duh kuaminiana siku hz ni mtihani
It's all about kujilipua ndo maisha yalivyo pia tunafanya kisheria kabisaa na unakuwa part of my business Kila report ya wiki nawe unapata yaani no bla bla 100%

Wengine JF humu tumeingia tangu teenagers
 
Kuna jamaa amekushaur vizur huko juu,mzingatie,hekima yake ikufae

Kwa mujbu wa maelezo yako n kama huna bills kubwa za maisha,chakula na kodi ofisi imekupatia…sina hakika kama unafamilia lkn…

1.wekeza/tunza fedha yako UTTAMIS/FIXED ACCOUNT ….hii sio biashara,uwekezaji kwa upande mwingne unamaanisha kuona faida baada ya muda mrefu miaka 10 au zaid
Fedha yako huku itakua salama mbali na kuitumia hivyo

2.tunza laki 3 kila mwez kwa nidhamu ya hali ya juu kwa miaka 3 utakua na capital ya 10M + itakufaa sana kufanya project ya maana ama kuendelea kuwekeza huko

Hyo balance ya 200 itasolve emergency ndgondgo na kufurahia maisha.

3.muda huu wote wakat unasave hicho kias tafuta idea yauhakika,tafuta taarifa zake,ujuzi,ijue vizur,pata shule ya hyo idea yako ili uje kuwa bora zaid

4.utekelezaji mwema,hongera kwa kuitambua kesho yako….ajira inaweza kukuacha muda wowote
 
Ukiwa na kuanzia 5m njoo uwekeze kwenye biashara yangu
Nakupa faida ya 10% Kila baada ya miezi mitatu siku ukihitaji hela yako unanipa pia mieizi mitatu ya kuitoa kwenye mzunguko
Niite mimi kwenye biashara yako lakini nitaomba unielekeze kwanza labda naweza na mimi kuringa hapa mujini kuwa nina biashara sio kugombania nafasi za foleni hapo ATM kila siku .
 
Kuna jamaa amekushaur vizur huko juu,mzingatie,hekima yake ikufae

Kwa mujbu wa maelezo yako n kama huna bills kubwa za maisha,chakula na kodi ofisi imekupatia…sina hakika kama unafamilia lkn…

1.wekeza/tunza fedha yako UTTAMIS/FIXED ACCOUNT ….hii sio biashara,uwekezaji kwa upande mwingne unamaanisha kuona faida baada ya muda mrefu miaka 10 au zaid
Fedha yako huku itakua salama mbali na kuitumia hivyo

2.tunza laki 3 kila mwez kwa nidhamu ya hali ya juu kwa miaka 3 utakua na capital ya 10M + itakufaa sana kufanya project ya maana ama kuendelea kuwekeza huko

Hyo balance ya 200 itasolve emergency ndgondgo na kufurahia maisha.

3.muda huu wote wakat unasave hicho kias tafuta idea yauhakika,tafuta taarifa zake,ujuzi,ijue vizur,pata shule ya hyo idea yako ili uje kuwa bora zaid

4.utekelezaji mwema,hongera kwa kuitambua kesho yako….ajira inaweza kukuacha muda wowote
Shukran sana mkuu,, ubarikiwe kheri.
 
Back
Top Bottom