Naliamsha dude'' Ngoma mpya ya Weusi

Hizi nyimbo za kusubiri mambo ya siasa huwa zinakaa mda mfupi sana kwa sababu siasa zetu za Bongo kila wiki kuna matukio kibao.
Madaraka ya Kulevya imeenda wapi, Nikae kimya nao ya Mond siisikii.
Hii nayo fasta itapotea kama zingine
 
Hii nimeisikia kwenye daladala..Yani yale mashairi yake mule nilijikuta tu najizuia kucheka.
 
naliamsha dudeee
(Kaza chaga mamaaa×2
naliamsha dudee
(Mida ya wakubwa na watoto washalala hyooo
 
Back
Top Bottom