Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

nashukuru Tyta hakiamungu ungekua una judge na maisha ya watu hivi hivi..... duniani ungebaki mwenyewe aisee

..tatizo historia yako inakuhukumu...unakubali visa vyako vya nyuma si vyote vya kweli....????tuanzie hapo...
 
Last edited by a moderator:
Una pepo nenda ukaombewe na Gwajima a.k.a mzee wa pangaboi!
 
We unaacha kumlilia Mungu kwa Zinaa zako kanisani unamlilia Mwanaume.

Yaani Age hiyo umeishavunjwa Bikra na watu wanapita kibao?heee

Basi jua mwanao pia watau wanamvunja miaka 12,nyie ndio mkiwa na watoto mnajifanya wakali sana,na kujifanya kwamba wao walikuwa watiifu.

Ujue Shetani anaokuoonea huruma Jinsi unavyomuudhi Mungu ndio maana anakufanya ulie.

Hakuna mapenzi matam na yenye amani nje ya ndoa.
Uongo,ulaghai na wizi mtupu na zaid ni laana tupu
 
dada ili usaidike tuwekee picha ya ''bibi'' then tuone tukusaidieje kwa kawaida huu ni ugonjwa wa sehemu za siri za mwanamke unaitwa kitaalam utyontyoliasis
 
nshakwambia akinikuna vizuri, sasa kukunwa vizuri kuna maumivu?

belie;
sikutaka kuchangia lakini weye umenifanya nichangie tu. Kwanza nataka nikubaliane na miss chagga kuwa mara nyingi mwanamke hulia kwa mambo mawili; Anawaza, kwa nini nilivua pichu yangu kwa mtu ambaye si wangu milele. Unataka kuacha lakini kale kautamuuuu unasema achaaaa, achaaaa, machozi yanakutoka. Unatamani umtukane lakini unajikuta unamtamani aendeleee kwani kakukuna kisawia. Pili, unajichukia kuwa sasa huyu akinitosa itakuwaje? Unataka kumwuliza lakini unaogopa jibu utakalopata. Unachanganyikiwa unalia tuuu.
Mambo mengine yanayokuliza ni kuona pengine utamu ulio upata, dume halikupata kwani ulitamani apige kelele ya raha lakini hakupiga bali alitoka tu na kwenda kuweka cd kuziba sauti zako. Unataka umweleze raha yako lakini yeye anaogopa kukuangalia akidhani alikuumiza kumbe ndo raha yako.
Ushauri, Tulizana na mmoja tu kwani sasa umekuwa kicheche, kila mara kubadilisha. Hao jamaa sio pichu, ni watu wenye uamuzi wao. Unavyowabadili kuna siku watajuana na kukudharau. Watakapo kudharau, wataambiana kuwa weye ni mpiga mayowe. Nakwambia itakuwa aibuuuuu
 
belie hebu nijibu haya maswali:

1. Je ulishakutana na wanaume wangapi wapya na hii hali ikakutokea (kulia)?
2. Je ni wote walikukuna sawasawa?
3. Je huwa unatumia kinga?
4. Je, upo tayari kukutana na mimi ili nikupatie tiba ya tatizo hilo (hahaaaa - hii ni joke)

Utakuwa na emotional but you can control it, sio mbaya, huyo anayekukuna huwa hamalizii ukoko. Anatakiwa akuna mpaka ukunike
 
Last edited by a moderator:
nilishawahi kukutana na wa hivi miaka kadhaa iliyopita, na ilikuwa mara ya kwanza, na sikutumia ndomu..hivyo nilivyoona analia nikaingiwa na wasiwasi mkubwa sana kwamba kwanini analia, pengine anajilaumu kwanini ameniambukiza ngoma,....ilibidi kesho yake tukapime na sikukaa kwa amani miezi mitatu. kama uko hivyo lazima unamweka mwenzio kwenye hofu isiyopimika.
 

Mi hii hunitokea pindi ninapomsaliti mwenzangu
 

Si kilio/ machozi ya furaha???? Au nini tena!!
 
Nikawaida tuu hio especially within that age...ni furaha ya mtarimbo!
 
Kila mwanadamu huwa anakuwa na style ktk uwanja wa kimapenz. Kwahyo nawe itakuwa hiyo ndiyo yako!
 
usilie bebi, tendo sio baya ila weka fikra vizuri, you might have had imaged it negatively/wrongly-
 
Mmh cjawai kukutana na mwanamke km ww but ungefunguka zaid tujue huwa unajisikiaje may be unakuwa na wivu kwamba kuna kenge huwa wanaiba tamu yko
 

pole!mie ni mara ya kwanza kusikia.ungesema ni wakati wa kula tunda ningesema ni utamu! Mi nashangaa maana wakati huo ge....nye zinakuwa zimeisha. Kueni myaone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…