Nakwenda kupima DNA niombeeni

Nakwenda kupima DNA niombeeni

utamu wa leo ndio uchungu wa kesho...papuchi mnapenda watoto wakizaliwa mnawakimbia..kila la heri mkuu ktk vipimo vyako.
 
kupima si suala la kitoto mpaka uwe na barua ya mahakama na kpmo kiko kwa mkemia mkuu,last week kuna jamaa yangu alifuatilia akapewa majibu hayo

Ni kwel, lakn ktu kngne n kwa kwamba lazma iwepo sababu ya wewe kufanya hivo and then ikionekana n reasonable na mahakama ikaiptsha basi serekal itakusaidia kias flan ambapo na wewe utachangia kias kidogo not more than lak tano.
 
Maskini, una hamu ya mtoto? Mungu atakupa wako, kama hujali mhudumie tu. Hiari yashinda utumwa.
 
sasa unaenda kupima ili iweje hasa?...mtoto ushaambiwa sio wa kwako tena kutoka kwa mamamtoto...halafu unataka watu wakuombee kwa uzinzi wako kweli? ingekuwa wewe ungeweza kumwombea mtu wa aina yako kweli? usitafute wa kumbebesha ddambi zako wewe nenda ukatubu tu kwa Mungu wako.
 
Msaada ninaohitaji ni kuwq sijui chochote kuhusu hii test wapi inafany na itanigharimu kiasi gani. Mi najiamini maana mama Wa mtoto ananiongoza na kaapa ma kudai haiwezekani mtoto akawa wangu. Naombeni mnisaidie kwa maswali hayo hapo juu.

Mkuu nenda kule Ocean road Hospital.. Jengo la pili kama waenda ikulu kwa baharini kule.. Utakuta jengo la Mkemia mkuu wa serikali.. Ingia kule utasaidiwa kwa hilo tatizo lako.. Gharama zao ni Tshs. 100,000 kwa kipimo kimoja.. Wanashauri ni vizuri vifanywe vipimo vitatu.. Yaani baba wa mtoto.. mama wa mtoto na mtoto mwenyewe.. Ina maana gharama hapo ni Tshs. 300,000 tuu.. Ila kabla hujaenda huko inabidi upate barua toka kwa au ustawi wa jamii au ofisi ya mwanasheria yeyote aliesajiliwa ikiwataja wahusika wanaotaka kwenda kupimwa.. Hiyo barua toka ustawi wa jamii/mwanasheria itakuwa addressed kwa Mkemia mkuu wa serikali.. Umenipata Mkuu..?
 
look around you.At the people living in abject poverty, adorned in rags,hunger is their long term friend,tukuombee wewe?
 
Kapimeni wote, si mlikuwa bado mnaendelea kula wote kwa wakati mmoja;
DNA hadi kuweka mashahidi, siyo lelemama kile kipimo.
 
.....haya mawe hayo kibao...kwepa sasa.......yote yamekulenga ww.....delete huo upuuzi....
 
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yetu yalibaki kuwa ni sex tu tena Mara moja moja sana. Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia Mimi sio muhusika.
Juzi Kati hapa kajifungua mtoto wa Kiume ambaye kwa anavyoonekna kafanana sana na mama yake. Tatizo ni kuwa muhusika kamkana mtoto anadai sio wake ni wa mtu anayetumia namba Ya simu (akataja namba yangu). Mzazi kaacha kupewa matumizi Ya mtoto kama walivyokubaliana na mshkaji kagoma Kwenda kupima DNA kwa kisingizio hana pesa ila kama akilipiwa yupo tayari. Sasa kuna hatari Ya mtoto kukoa baba na mzazi kukosa matunzo.
Badala Ya mimi kumlipia yeye nimeamua nikapime Mimi nijitoe kwenye mzozo huu. Nimeshakutana na jamaa na tumepanga jumaatatu.
Msaada ninaohitaji ni kuwq sijui chochote kuhusu hii test wapi inafany na itanigharimu kiasi gani. Mi najiamini maana mama Wa mtoto ananiongoza na kaapa ma kudai haiwezekani mtoto akawa wangu. Naombeni mnisaidie kwa maswali hayo hapo juu.


Hivi mtoto hawezi kuwa na baba wawili? Just in case...
 
kupima si suala la kitoto mpaka uwe na barua ya mahakama na kpmo kiko kwa mkemia mkuu,last week kuna jamaa yangu alifuatilia akapewa majibu hayo

DNA siyo kama unahisi malaria unaenda kituo cha afya, kuna hatua za kufanya. Pole mkuu
 
haya ndo mambo yakupeana papuchi without commitment..namega kisela
gudluck
 
Back
Top Bottom