Nakwenda kupima DNA niombeeni

Nakwenda kupima DNA niombeeni

Kama unamsaidia mpenzi wako kutunza mtoto asiyekuwa wako,haya kazi kwako ingia gharama ila mi sioni kama kuna ulazxima wowote kiongozi unaingia gharama za bure tu!!!!!!!!!!!!
 
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yetu yalibaki kuwa ni sex tu tena Mara moja moja sana. Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia Mimi sio muhusika.
Juzi Kati hapa kajifungua mtoto wa Kiume ambaye kwa anavyoonekna kafanana sana na mama yake. Tatizo ni kuwa muhusika kamkana mtoto anadai sio wake ni wa mtu anayetumia namba Ya simu (akataja namba yangu). Mzazi kaacha kupewa matumizi Ya mtoto kama walivyokubaliana na mshkaji kagoma Kwenda kupima DNA kwa kisingizio hana pesa ila kama akilipiwa yupo tayari. Sasa kuna hatari Ya mtoto kukoa baba na mzazi kukosa matunzo.
Badala Ya mimi kumlipia yeye nimeamua nikapime Mimi nijitoe kwenye mzozo huu. Nimeshakutana na jamaa na tumepanga jumaatatu.
Msaada ninaohitaji ni kuwq sijui chochote kuhusu hii test wapi inafany na itanigharimu kiasi gani. Mi najiamini maana mama Wa mtoto ananiongoza na kaapa ma kudai haiwezekani mtoto akawa wangu. Naombeni mnisaidie kwa maswali hayo hapo juu.


Hahahaha!!!......kweli kila kitafunwa na kinywaji chake, and now it's no longer a dream brother.....

Watu wengine mnavituko sana bwana, sasa mkuu we wapiga tikitaka na hali yakuwa unajuwa kabisa umevaa msuli, hivi ulikuwa unatarajia nini? ina maana ulikuwa hujui kwamba penye raha hapakosi karaa......hahahahaha!!!!!!......just kidng

ila pole sana brother. Tutakuombea bhana, ila mimi maombi yangu yatakuwa tofauti kidogo, nitaomba tu baba awe huyo jamaa mwengine huyo, ila ikitokea na yeye amekataa basi no way yabidi Mungu abariki wewe uwe baba tu mzee. Maana kiukweli sipendi mtoto akose baba bwana au wewe unaonaje brother? Kwa mfano ingekuwa ni wewe umezaliwa halafu watu wanakuombea baba yako akukatae ingekuwaje?

Tena kwanza huoni itakuwa ni bahati ya mtende maana hakuna hasara hata kidogo, ni faida tu kwenda mbele. Kwanza utakuwa haujapoteza nguvu zako bure, pesa ulizotoa guest hazijapotea bure, weekend yako au usiku mlioutumia haukwenda bure, tena na vigarama vingine vidogo vidogo havikwenda bure na isitoshe hii inadhihirisha wazi kabisa kuwa ile raha ndani ya roho uliipata vilivyo mzee.

Ila usiogope ndio maisha hayo na ndio ukubwa huo kijana.....hahahaha!!!! usikubali kupata hasara bwana.........
 
sawa tutafunga kula na kunywa na maobi siku tatu mfululizo

Hebu nishirikishe kwenye maombi tunaombea nini?Mtoto awe wake au asiwe wake?Hebu nijulishe nisije kuchanganya maombi DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Anzia Kwa Mjumbe wa Nyumba 10 Kwenye Serikali ya Mtaa wako (ya muhimu sana hii) , hapo mtafungua shauri Na Wazazi wote mtaitwa Na kutable kikao. Inshu inaweza kuishia hapo hapo Kwa Sababu kuna kinamama ambao wana Uwezo Mzuri wa kuwajueni Ninyi Na kumfananisha Mtoto haraka Na mkaokoa gharama kubwa.

Ikishindikana watawapeleka Baraza la kata, hapo litafunguliwa shauri. Ni mahakama flan hapo. Lazima awepo mshataki au washtaki Na halikadhalika. Shauri la sintofaham baba wa Mtoto linaweza kwenda sambamba Na accrued matters ambazo lazima ziongelewe. Ila Kama Ni empty accrued then subject ni Deoxyribonucleic acid (DNA) molecule test only(VINASABA), Basi direct wanakupa file lenye maelezo yenu Na form zilizo jazwa I think no form3 au 8 Kama sikosei Ndo unaenda nayo Mahakamani.

Mahakamani hamta Kuwa Na mlolongo mrefu Ni kuwaandikieni affidavity Na mambo kidogo Ndo haoo mnaenda nayo Kwa mkemia mkuu. OCEAN ROAD peke Yake Kwa TZ. Sio Kwamba pengine hawawezi Fanya hiyo test Bali Sheria ya Nchi inamtaka mdhamana wa wananchi wa TZ ambaye Ni Serikali Chini ya Mkemia mkuu Afanye job hiyo.

Kwa Kesi hiyo Hakuna ataye kwepa, lazima wote wanne mchunguzwe. Kipimo Sijui gharama Yake ila yaweza Kuwa Laki au Na nusu Kwa single unit. Kama ni unit Nne unazidisha.

TAHADHARI.

1. MAMA KUONGOPA: Akina mama wengi huwa wanajua baba wa Mtoto. But sometime wanalazimika kumvurumishia Mtu furushi ambalo sio lake. Hii imatokana Kwamba Wewe +victim umeoa, kisha ukamchepukia yeye Na akapata ujauzito. But yet ANAYE playboy ambaye Yuko free Na possibly alimwitamwita mchumba. So kuliko akwambie truth Wewe ambaye una mke Tayari bora amrushie zigo mchumbake. This happen uncountable times. Lakini pia Sababu nyingine ya kuongopa Ni Uwezo. Akisha Nasa huyoo anaanZa kutafuta MWENYE kauwezo amwagiwe matunzo.

2: USIRI WA SERIKALI:- hufiki Kwa mkemia mkuu hapo hapo mkatobolewa kuanza upimaji wa VINASABA. Lazima ofisi ya mkemia mkuu ipitie majalada yenu Kwa umakini. Na lazima mama awaeleze Na pengine alipo Kuwa akigawa uroda pote ili watengeneze target circle. Sometime wanaweza kuongeza idadi ya wapimwaji. Namba moja Ni DNA ya Mtoto Kama subject. Na ya mama ambayo lazima ziwiane. Kama kuna tofauti Basi mama Mtoto sio wake possibly alibadilishiwa Na hapo mchakato huwa complex zaidi na lazima ibaki Kuwa SIRI ya serikali. Sometime inawalazimu kuwasiliana na hospatli husika na hapo mchakato huwa Mnene kidogo. Ila case ikimkuta mvivu data zimapikwa Mtoto apate baba maisha yaendelee.

Lakini Cha pili utakuta target circle wako wababa wawili. Mmoja Yuko fit (I mean kiafya Na uchumi) mwingine Dhaifu (possibly HIV DEADLY AFFECTED). Na vipimo vikaonyesha Yule Dhaifu Ndo +ve victim father . Hapo lazima piko la SIRI lifanyike ili Mtoto, kiumbe wa mwenyezi Mungu, asiye Na hatia yoyote apate Wazazi Na matunzo bora.

Kipimo Cha VINASABA ni moja Kati ya vipimo rahisi. Kila hospitali inaweza handle. Lakini Ni kosa sana kisheria. Lazima Mwenye dhamana Na wananchi ambaye Ni Serikali Chini ya Mkemia mkuu tu Ndo ithibitishe au "iwape " uhalali wa Uzao Mtoto Kwa michakato ambayo sometime inawacost usiri sana.

USHAURI WANGU:

VINASABA sio mwarobaini wako wa kujivua matunzo. Maadam mdada alikuburudisha wakati ule basi usimtupe, endelea Na tunzo. Iko siku Mtoto atakua Na kupevuka Na sura ya babake itakuwa so obvious. Niaje Kwenye vinasaba wakakutupia zigo, ukahaha kutunza ukiamini Ni wako anapokua unatambua ni NASORO mtupu sio Wewe itakuumavipi?!?.

Achana Na ngono zembe Kama Hakuna Sababu ya kufanya hivyo. Na Mwisho unajijuaje??? Labda huna Uwezo wa kuzalisha. May be God create that way uitwe baba. TAFAKARI SANA, FANYA MAAMUZI MAGUMU LEO MEPESI KESHO.
 
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yetu yalibaki kuwa ni sex tu tena mara moja moja sana.

Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia mimi sio mhusika.

hapo haueleweki kwamba mliachana ila mahusiano yalibaki kuwa sex binti kapata mimba unasema si mtoto wako!!!
 
Ama kweli una hamu ya kuwa baba kila lakheri.
 
huna kazi za kufanya,,?? Naona bado wampenda huyo binti, sasa subiri wakulobby majibu,na vipimo ulee mtoto asiye wako..

Afu waja na 'eti mtoto kafanana na mama', pole..

Huyo binti atakubebesha zigo si lako.

....ffyuuuuuuuuuuuu...
 
Sehemu ya kwenda kupima ichague wewe, ukifanya mchezo majibu wanachakachua halafu unapewa(wanakubambikia)
 
Mimi namfikiria mtoto tu...mackin hajui kitu...anatelekezwa tu kwa upumbavu wa mama
 
Serikali haitaki watoto yatima mtaani waongezeke nenda na jibu kuwa MTOTO NI WAKO -TRUST ME NA HUYO JAMAA AKIPIMA SIKU NYINGINE MTOTO NI WAKE ILA NBS kuna kuwa na data za uhakika nani ni baba halisi wa mtoto.
 
Back
Top Bottom