Engineer Mohamed
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 451
- 9
Sawa sawa, Mtu wa Pwanihakuna m-znz aloshika wizara ya muungano akaondoshwa kwa wizi au ubadhirifu
Mimi naona kabla ya waZanzibari kuanza kulalamikia vyeo vya Muungano, kwanza mngeanza kulalamikia jirani na ndugu zenu halisa wa hapo Pemba, wapewe nafasi kwenye serikali ya mapinduzi. Nna uhakika mkianzia hapo basi hata kwenye muungano mnaweza mkapata sauti ya kutaka madaraka. Waswahili wana msemi wao, Nyani huona ku... la mwenzake lakini lake halioni.Nakuuliza mheshimiwa JK....JF members na wa-TZ wenzangu wote HAKUNA MZANZIBARI MWENYE SIFA YA KUCHAGULIWA KUWA GAVANA WA BoT???? haaaaaa ametoka,dr idrissa rashid(mtanganyika) amekuja BALALI(MTANGANYIKA) na huyo wa sasa Prof NANI HATA JINA SIMJUI anatoka TANGANYIKA also.
Mheshimiwa JK angalia na upande wa PILI WA SHILLINGI.
zanzibar kubwa yakhe! atoke pemba au unguja?. maana vyeo vingi wameshika waunguja, wapemba je?
Pemba nayo kubwa Ami, sasa atoke Gombani, Wete, Ziwani, Kengeja, Kijiwe au Konde?
Nakuuliza mheshimiwa JK....JF members na wa-TZ wenzangu wote HAKUNA MZANZIBARI MWENYE SIFA YA KUCHAGULIWA KUWA GAVANA WA BoT???? haaaaaa ametoka,dr idrissa rashid(mtanganyika) amekuja BALALI(MTANGANYIKA) na huyo wa sasa Prof NANI HATA JINA SIMJUI anatoka TANGANYIKA also.
Mheshimiwa JK angalia na upande wa PILI WA SHILLINGI.
UKisema au kulalamika hivyo weka majina ya baadhi wanao qualify na position ile na elimu zaoNakuuliza mheshimiwa JK....JF members na wa-TZ wenzangu wote HAKUNA MZANZIBARI MWENYE SIFA YA KUCHAGULIWA KUWA GAVANA WA BoT???? haaaaaa ametoka,dr idrissa rashid(mtanganyika) amekuja BALALI(MTANGANYIKA) na huyo wa sasa Prof NANI HATA JINA SIMJUI anatoka TANGANYIKA also.
Mheshimiwa JK angalia na upande wa PILI WA SHILLINGI.
Nakuuliza mheshimiwa JK....JF members na wa-TZ wenzangu wote HAKUNA MZANZIBARI MWENYE SIFA YA KUCHAGULIWA KUWA GAVANA WA BoT???? haaaaaa ametoka,dr idrissa rashid(mtanganyika) amekuja BALALI(MTANGANYIKA) na huyo wa sasa Prof NANI HATA JINA SIMJUI anatoka TANGANYIKA also.
Mheshimiwa JK angalia na upande wa PILI WA SHILLINGI.
HAYA NDIO SEHEMU YA MATATIZO YA MUUNGANO VYOMBO MUHIMU SIKU ZOTE HUKAMATA WATU WA UPANDE MMOJA
MIE NNAONA UMEFIKA WAKATI WA UPANDE WA PILI KUPEWA HASA UKIZINGATIA
hakuna m-znz aloshika wizara ya muungano akaondoshwa kwa wizi au ubadhirifu