MCHUMIA JUAN
Member
- Jun 15, 2015
- 94
- 22
Ahsante sana Ngwananzengo.
Hao wote unaowaona wanajidai kuponda ni fans zangu wa kisirisiri, wanachukia sana kunichukia na hawana raha wasiponiona na nimewaona toka Ramadhan imeanza wananichokoza makusudi kabisa, ili wanione nikichangia japo kiduchu.
Kusema kweli swaum siyo inayonizuwia kuingia JF huwa nnaingia kila nnapopata wasaa, kinachonizuwia ni kuwa nimejiwa na ugeni wa wanangu na wake zao wameamuwa summer holiday hii waje kuniona na kufunga swaum zao Tanzania, wengine hawajawahi kabisa kufunga hapa. Kwa hiyo wana ni keep busy sana, ingawa nashkuru ndugu jamaa na marafiki wanawaalika sana kwa hiyo hupata ahueni ya kuwaandalia wageni lakini huwa katika pirika za kufatana kila wanapoalikwa kwani wengine wanaogopa hawana uzoefu sana na culture yetu, wanahisi labda watakosea kitu kwa watu, na mimi nna act kama tour guide wao. na ukichukulia kuwa hawa hawataki kabisa kukaa mjini ambapo ndiyo karibu na ndugu na jamaa wengi wanaowaalika, wao wanataka baada ya kufuturu na kusali isha turudi Mkuranga, kwa hiyo nnakuwa extra occupied.
Nnashukuru kwa kunikumbuka na nnadhani wote tungekuwa productive sana tungekuwa kama wewe, hata pale tusipokubaliana tuwe tunapajadili bila chuki. Ahsante kwa hilo.
Nipo na huwa nnaingia na mtaniona tu ngoja hawa wageni wazowee na waanze ku take over mashughuli yao ya nyumbani mtaniona tu.
Nnawatakia wote mfungo mwema na wale makobe kama Daudi Mchambuzi nnawatakia Ramadhan njema. Hili li Daudi Mchambuzi halifungi Ramadhan wala Kwaresima, sijuwi ni jitu la aina gani hili, limakalia ushambenga tu. Tuliombee kwa Allah linaweza likarudi kwenye njia iliyonyooka.
Leo nipo.
Ramadhan Kareem.
Haya karibu Daku basi
Kama "udini" maana yake hi Uislam basi utateseka sana ndani ya moyo wako.
Kikwete wala hana haja ya kuwekewa kifua ja yeyote yule, record yake njema na ya kutukuka iko wazi kabisa na hakuna wa kabla yake yeyote ambae anaifikia hata nusu, tena wachanganye wote pamoja Kikwete bado atakuwa kidedea.
Huwezi ku challenge na mimi kabisa tena, labda uulize maswali kwa usiyoyajuwa nikupe darsa.
hahahaha kujiamin kwako kunaficha udhaifu wako okey nikipata la kukuuliza nitakuuliza.ila siamin ktk unayoyajua km kuna kitu sikifahamu....live your world
Ahsante sana Ngwananzengo.
Hao wote unaowaona wanajidai kuponda ni fans zangu wa kisirisiri, wanachukia sana kunichukia na hawana raha wasiponiona na nimewaona toka Ramadhan imeanza wananichokoza makusudi kabisa, ili wanione nikichangia japo kiduchu.
Kusema kweli swaum siyo inayonizuwia kuingia JF huwa nnaingia kila nnapopata wasaa, kinachonizuwia ni kuwa nimejiwa na ugeni wa wanangu na wake zao wameamuwa summer holiday hii waje kuniona na kufunga swaum zao Tanzania, wengine hawajawahi kabisa kufunga hapa. Kwa hiyo wana ni keep busy sana, ingawa nashkuru ndugu jamaa na marafiki wanawaalika sana kwa hiyo hupata ahueni ya kuwaandalia wageni lakini huwa katika pirika za kufatana kila wanapoalikwa kwani wengine wanaogopa hawana uzoefu sana na culture yetu, wanahisi labda watakosea kitu kwa watu, na mimi nna act kama tour guide wao. na ukichukulia kuwa hawa hawataki kabisa kukaa mjini ambapo ndiyo karibu na ndugu na jamaa wengi wanaowaalika, wao wanataka baada ya kufuturu na kusali isha turudi Mkuranga, kwa hiyo nnakuwa extra occupied.
Nnashukuru kwa kunikumbuka na nnadhani wote tungekuwa productive sana tungekuwa kama wewe, hata pale tusipokubaliana tuwe tunapajadili bila chuki. Ahsante kwa hilo.
Nipo na huwa nnaingia na mtaniona tu ngoja hawa wageni wazowee na waanze ku take over mashughuli yao ya nyumbani mtaniona tu.
Nnawatakia wote mfungo mwema na wale makobe kama Daudi Mchambuzi nnawatakia Ramadhan njema. Hili li Daudi Mchambuzi halifungi Ramadhan wala Kwaresima, sijuwi ni jitu la aina gani hili, limakalia ushambenga tu. Tuliombee kwa Allah linaweza likarudi kwenye njia iliyonyooka.
Leo nipo.
Ramadhan Kareem.
Ha ha FaizaFoxy nimeipenda hii post yako, nikutakie mfungo mwema ulimaliza pia ubaki ba hii stara yako siyo 24/7 uko mtandaoni unatukanana na wajukuu wako
Inawezekana kabisa kuwa hauna unachokifahamu na inawezekana kuwa kuna unayoyafahamu, jaribu.
Kama "udini" maana yake hi Uislam basi utateseka sana ndani ya moyo wako.
Kikwete wala hana haja ya kuwekewa kifua na yeyote yule, record yake njema na ya kutukuka iko wazi kabisa na hakuna wa kabla yake yeyote ambae anaifikia hata nusu, tena wachanganye wote pamoja Kikwete bado atakuwa kidedea.
Huwezi ku challenge na mimi kabisa tena, labda uulize maswali kwa usiyoyajuwa nikupe darsa.
Unaijua hiyo kitu lakini?Yummy!
Unaijua hiyo kitu lakini?