Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

Wewe ni zuzu.

Vitu unaandika ni akili za kinjani nyani.

Jiandae kuvutwa mkia leo.
Nimesema narudia tena na kwako kwamba, wapo wananchi wenye IQ kama yako Jimboni. Hali ambazo zinachochewa na uvivu, ulevi wa visungura, ugumu wa maisha ambao kule Jimboni pangu tumewawezesha vijana kimawazo, kielimu na kiuchumi ili kuondokana na tabia hiyo ambayo inamuumiza wao wenyewe 🐒

kwahiyo hata wewe unaweza kusaidika ukatoka kwenye hali uliyonayo ukiamua.
Ukishupaza shingo na kubaki na mawazo na mtazamo huo, hakuna namna utaachwa mbali sana na wenye bidii 🐒

Usipanic ndio ukweli relax
 
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge.

Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni.
Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi nimalizie na kukamilisha kazi kidogo iliyobaki katika baadhi ya maeneo machache.

Nguvu ya kutetea kiti inatoka kwa wananchi. Ninapokamilisha na kuhitimisha ziara ya kukagua kazi za maendeleo Jimboni, imekua vigumu sana kuwaaga wananchi kwamba sintagombea tena ubunge.

Kwenye hili nimepata upinzani mkali sana kutoka kwa wananchi.

Na kwahivyo baada ya kusikiliza sauti na vilio vya wananchi nimeridhika kwamba ninatosha na nimeamua kwamba nitakuombea na sintawaangusha wananchi wangu 2025🐒

Tuombeane uzima, kheri, utumishi mwema, afya na siha njema kwa Mungu, ili kwa Neema na Baraka zake, hili likapate kutokea tena, sawa sawa na Mapenzi yake mema kwetu sote.

Asanteni sana.
Unagombea kwani Kuna uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ww sema utaendelea kujikomba ili upitishwe na chama chako. Sio mambo ya kura kutoka kwa wananchi maana hakuna uchaguzi.
 
Unagombea kwani Kuna uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ww sema utaendelea kujikomba ili upitishwe na chama chako. Sio mambo ya kura kutoka kwa wananchi maana hakuna uchaguzi.
🤣 masuala ya vyama bado sana kamanda..

hii ni ya wananchi saa hii ni kung'ang'ana nao kutatua yalituliyoyaanza tayari, tukirejea ni budget na tukimaliza hapo ni uchaguzi serikali za mitaa 🐒

So, this is just communication, consultations and engagements with wanainchi and to suggest way forward, as we are approaching budgetary house as well as serikali za mitaa elections at the end of the Year and 2025 general elections...
 
ni miongoni mwa wawakilishi wa wananchi wa eneo bunge mojawapo humu nchini, pale mjengoni lakini pia yapo majukumu ya kisekta nayaperfom mwote nchini 🐒
Utachaguliwa kwa uwezo uliouonyesha jimboni kwako..!!! Huko kwingine wana wabunge wao watahusika..!! Wewe taja jimbo upimwe..!!
 
Wengi tu, we taja jimbo..!!
na,
actually kwa kiasi kikubwa maeneo bunge mengi mno humu nchini, yapepiga hatuua kubwa sana ya mabadiliko na maendeleo🐒

na hili ndilo linawapa moyo sana wabunge wengi kulazimisha na wananchi wao kuomba tena na nafasi hizo za uwakilishi mjengoni 🐒
 
Sawa.

Nitakupambania hapa jukwaani.

Si unajua wakina CDM digital walivyo.

Buku 8. Sukari ipo juu. unajua.
 
Ataje jimbo ili azomewe.Kama huyo ni mheshimiwa ni halali ilo bunge liwe hivyo lilivyo.wala sishangai kwasababu mchango wake uku unajionyesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
wananchi wa aina kama yako wapo sana tu hata Jimboni pangu na tunasonga nao hivyo hivyo kwasabb hamna namna ingine sasa 🐒
 
Sawa.

Nitakupambania hapa jukwaani.

Si unajua wakina CDM digital walivyo.

Buku 8. Sukari ipo juu. unajua.
shukrani sana 🙏

ile muhimu zaid ni kuombeana baraka na neema za Mungu.
Huko chini ntang'ang'ana tu vizuri uskue na tashwishi yeyote 🐒

maadamu nimeitikia wito wa wanainchi everything is under full control and authority 🐒
 
Back
Top Bottom