Nakupenda

Nakupenda

Ina-sound poa sana kama mtu akikwambia nakupenda ww pia ureply nakupenda, hizi mambo za kusema me too au asante, hapo kutakua na walakin....!!
 
Napenda kujibiwa nakupenda pia bby, na cyo asante, asante ya kitu gani sasa. wala hainogi
 
Tatizo kuna mwingine hata akikutamani tu anakwambia nakupenda. Neno nakupenda yafaa umwmbie unayempenda kwa dhati. Na kama unahisi huna feeling na mtu ni bora umjibu ahsante.
 
Mimi nikiambiwa "I LOVE YOU" na mchepuko huwa namjibu "I know, you need not to say...."
 
Patamu ni unapomuambia mtu 'i love u' afu anakujibu 'i know'

hata asante hasemi! It means chai tupu. Ama anajibu 'you have a funny way of showing it'
 
Wengine tumezoea kuambiwa
Me mor
Thnx
Me too
 
Back
Top Bottom