Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,543
- 9,167
Mapenzi haya namshukuru Mungu nimepata mke mzuri na wife material baada ya siku mnapigana chini. Hata mimi nilishawahi kusema hivyo hivyo kama wewe na mapenzi yalikuwa moto moto. duh! sijui hata ilishaje. Kuna mwanake mmoja yeye alikuwa anatupia picha ya jamaa yake facebook baada ya siku napita kwenye account yake sioni hata picha ya jamaa hata mmoja.Siwezi kuweka picha ya mkewangu mtarajiwa hapa
KIla la kheri comrade