kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 424
Kumuona mrembo wa kipepe waliyekutana hapa JF, huyu hapa, Matilda.Picha kipepe tumuone mrembo wako.
Kumuona mrembo wa kipepe waliyekutana hapa JF, huyu hapa, Matilda.Picha kipepe tumuone mrembo wako.
Naunga mkono hoja.Bila picha unatupotezea mda tu hapa
Isije ikawa umemchukua mke wangu. .. mkuu hebu taja I'd yake basi ...Acha kunipa pressure
Nami namsubiri Matilda wangu mwenye chura!
Msalimie mkeo
Wakati naweka bandiko kule love connect kua natafuta mwanamke Mzuri, kuna watu walidhani ni masihara, lakini nashukuru mungu nimempata niliemtaka.
Sikudhani kama JF kuna wadada wazuri kiasi hichi, nashukuru umenielewa na umekubali kua wangu, nilipokuona sikuamini kama ndie mwanamke niliekua nachat nae JF, ama hakika Umzuri sana.
Asante sana JF kwani nimepata wife material na mrembo hasaaaaa.
I'm only responsible for what I said not for what you understoodNdio ulichomaanisha alichosema.
OKI'm only responsible for what I said not for what you understood
Hata sijawahi kanyaga hukoutakua shinyanga wewe