Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Wa kwao si ni nyinyi members wa jfHongera ila hatutaki mrejesho maana kila mchuma janga hula nawakwao
Wa kwao si ni nyinyi members wa jfHongera ila hatutaki mrejesho maana kila mchuma janga hula nawakwao
Yani niweke picha ya mkewangu mtandaoni???Picha tafadhali
Usijali mkuuHongera ila hatutaki mrejesho maana kila mchuma janga hula nawakwao
Au matlida alienikacha mimi kisa sina mbumbaWakati naweka bandiko kule love connect kua natafuta mwanamke Mzuri, kuna watu walidhani ni masihara, lakini nashukuru mungu nimempata niliemtaka.
Sikudhani kama JF kuna wadada wazuri kiasi hichi, nashukuru umenielewa na umekubali kua wangu, nilipokuona sikuamini kama ndie mwanamke niliekua nachat nae JF, ama hakika Umzuri sana.
Asante sana JF kwani nimepata wife material na mrembo hasaaaaa.
ha ha ha mbona sijaona huruma yakoWanawake tuna huruma sana walah
Mimi pia nina huruma labda wewe tu ndio sio mnufaika wa huruma yanguha ha ha mbona sijaona huruma yako
ha ha ha haMimi pia nina huruma labda wewe tu ndio sio mnufaika wa huruma yangu
Acha dharau mkuu... Na mtaongea sanaWanawake tuna huruma sana walah
SawaMtakapokuwa mnatwangana ngumi utupe mrejesho
Usijali mseeeeMsalimie wife material wako
A.k.a baby faceMatilda
Inawezekana kaja kwa kigogo WariobaAu matlida alienikacha mimi kisa sina mbumba
Kwann umetoa kauli kama hii,Wanawake tuna huruma sana walah
Kwann umetoa kauli kama hii,
Kwamba mtoa mada hapaswi kumpata mke kupitia jf au
Wakati naweka bandiko kule love connect kua natafuta mwanamke Mzuri, kuna watu walidhani ni masihara, lakini nashukuru mungu nimempata niliemtaka.