WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 972
They pay kuibwa so it comes as no surprise. Hata Dotnata alitoa hela kuibwa na FM Academia na aka shitiki kwenye video ya mwimbo.
They pay kuibwa so it comes as no surprise. Hata Dotnata alitoa hela kuibwa na FM Academia na aka shitiki kwenye video ya mwimbo.
Mchango wa wengi wao ni uhalifu ndugu yangu!Naomba ufafanuzi hapa ina maana ili uimbwe unatoa pesa? Mmmhh jamani na hawa nao wanataka kuimbwa ili wapate nini?mbona sijawahi kusikia mchango wa hawa watu kwenye jamii? au ni kutafuta tu umaarufu usiokuwa na maana?
Naomba ufafanuzi hapa ina maana ili uimbwe unatoa pesa? Mmmhh jamani na hawa nao wanataka kuimbwa ili wapate nini?mbona sijawahi kusikia mchango wa hawa watu kwenye jamii? au ni kutafuta tu umaarufu usiokuwa na maana?
Asante MwanaF1,
Sasa ndugu yangu..hivi hat akama ndio kutoa hela uimbwe... najua hizi bendi zinamilikiwa na watu wenye kuheshimika katika jamii - Akudo kwa mfano nasikia kuna Waziri mmoja anaimiliki... hapo hapo bendi inatukuza wahalifu..inakuwaje hii?Ni ujumbe gani unaifikia jamii - hii connection au unholly alliance kati ya Kiongozi mmiliki, wanamziki na wahalifu
Siyo siri... napenda sana wimbo wa Safari siyo Kifo wa Akudo - lakini maneno yake huwa yananifanya nishangae kidogo... yaani wanaume wazima wanamsifia mwanaume mwenzao Jack Pemba mwanzo hadi mwisho!
Atakuwa kawalipa kiasi gani?
Tukirudi kwenye mfano wa Dotnata, I'm not sure but if memory serves me right alisema aliwapa FM $100 kumpaisha.
Pesa kama hizi zinaingia kwenye mfuko wa bendi au mtunzi au inakuwaje?
Unatoa mkwanja hata wewe Msindima una paishwa kwenda juu.
Nionavyo ulimbukeni wa maisha na kupenda sifa zisizo na mpango ndivyo vinavyowasumbua,kuliko kutoa pesa uimbwe si bora hiyo pesa wakawape yatima,tuna mayatima na wajane wangapi ambao wanahitaji misaada wetu?
hapo unaweza-kuta yeye anatoa pesa ili aimbwe lakini wapo ndugu zake wana shida na hata hatoi msaada kwa ndugu zake kuwasaidia.
They pay kuibwa........ Hata
Dotnata alitoa hela kuibwa na FM Academia ...........
Mchango wa wengi wao ni uhalifu ndugu yangu!
Mkuu si unajua wabongo? Ana hiari atoe mamilioni kwenye harusi ili aonekane ila mtu huyo huyo mfuate kumuomba msaada kimya kimya kama ata kupa.
Lakini WOS cha kukumbusha Jack Pemba hivi sasa amefulia totaly mpaka anaona aibu kutoka alikuwa anamzalau mdogo wake sasa yupo TBT pale aibu kafulia.
Kazi kweli kweli,sasa tunafanyaje kwenye hili swala maana kidogo huwa napata shida unaimbwa ili? Na wakati huna mchango wowote kwenye jamii tena mtu huyu utakuta hana msaada hata kwenye jamii inayomzunguka,nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kusikia wakimtaja kwenye hizo nyimba zao jamaa mmoja kwa jina MKARABATI,hivi huyu nae alikuwa na mchango gani kwenye jamii?