jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,665
- 11,793
huu ni utajili au umaskini
huu ni utajili au umaskini
Heri vyeti feki kutokomezwa, maana hata swali lako lina utata...
huu ni utajili au umaskini
huu ni utajili au umaskini
Hahahaha, shauri yako..Haya sasa![]()
![]()
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaha, shauri yako..
dah...WANATULAGHAIHaya sasa![]()
![]()
Sidhani, mie mbona nakohoa na kwenda haja navyotaka..Uzuri na urembo wa Tanzania hauna maana yoyote kama hata kukohoa & kwenda haja ni lazima uombe ruksa kwa boss kubwa. Sasa itategemea kaamkaje siku hiyo!!
Watanzania wachache sana wanaojua haya usemayo.tatizo watu wamelewa uzushi wa wana siasa,hasa siasa pinzani.wanasahau kua hao wanasiasa wako kazini kutetea shekeli..wanapinga kila kitu lakini Tanzania yetu ni nchi nzuri sana kuishi.sema tu wananchi wengi hawajui nchi zingine zikoje ndo mana wanalopokaga tu wanachojisikiaSidhani, mie mbona nakohoa na kwenda haja navyotaka..
Kama ni swala la kutaka kufanya mambo bila kufuata sheria hayo mengine, mie naishi kutokana na sheria za nchi, nikiambiwa sheria inasema hivi nafuata hivyo, inasema vile nafuata tena..
Sijitakii matatizo yasiyo na msingi yatakayonifanya nikose kipato changu na kuwapa shida familia, rafiki na ndugu..
Tunakuza mambo sana, ningekuwa na hela ningekupa uende Burundi, Rwanda, Gabon, Eq Guinea, Morocco, Egpyt, Tunisia, Algeria, Cameroon, hata Uganda ujaribu kuvunja sheria ujionee yatayotokea...
Ishi maisha yako, fuata sheria, dai haki zillizo kwenye sheria, sidhani kama TZ itakukatilia...
Ila nenda kinyume na sheria kazi unayo...