Nakupenda Jf! Umenipa Hubby~love!.

Nakupenda Jf! Umenipa Hubby~love!.

leo mmetongozwa
kesho mmelalwa
kesho kutwa mmefiwa
jana mlitaka kuanzisha saccoss ya wapweke
juzi kati mahb sijui kufanyaje!
kheeeeee na mnawatoa wapi wanaume wasiowakunja vizuri mkawa na akili hata za vicoba?

Umeua....nimefurahi sana kwa hiii comment yako. Imesimama
 
Haaaaaa! Mmmmmmmh!

Unaguna nini shost? Yote umeyataka wewe kutwa watu hatupumui humu....Matola...Matolaaa...
Ndo tunalipiza hata sie tunao mahubby humu jf...

Heheheee....kantangazeee......

Nikisutwa Dinazarde atakuja kunisaidia...!
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaaa! Mtu chake yakheeeee! Nimekolezwa!
 
Habari!,..

Nina Furaha Sana sanaaa na Naishukuru kipenzi changu Jf!!.Imenipatia Mme Kipenzi,laazizi anaejua nini thamani ya mwanamke!!.anaejua kujali na kupenda kweli...najisikia kupendwa,najiona mwenye bahati sana.

trust me,jf kuna wanaume wazuri sana waojua kupenda na kuwa na relationshp nzuri!!.

to yo >hubby najua umepasoma hapa,nataka ujue i love u more than yesterday..ur the reason i smile everyday,ur special hubby,love me more nizidi kupagawa!!.

mahaba ninyongeee mieeee!!,nikafie mbali kwenye kifua cha @_____ __,love u nyang'anyang'a!!.

mnaotafuta hapa wapenzi,msijali mtapata tu,na mlopata hongereni! lolz.....

Amesha kukagua?
 
leo mmetongozwa
kesho mmelalwa
kesho kutwa mmefiwa
jana mlitaka kuanzisha saccoss ya wapweke
juzi kati mahb sijui kufanyaje!
kheeeeee na mnawatoa wapi wanaume wasiowakunja vizuri mkawa na akili hata za vicoba?

Chuki mchukie moyo wake mwachie
 
Jf kuna machangudoa wengi sana siku hizi.

Mmoja wapo ni huyu Mom Fay.

You can print that.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa kua umeweka wazi hata kama wanafiki mmeanza kutokwa na mapovu na kupaliwa ndo hivo ishakua mtoto kakubali kua na Gentleman hataki Ma boy wanao lialia , asante kwa heshima hiyo nami naahidi yafuatayo
 
hhahahhshahaha.baaabek!
Matola mnatuulia watu huku!
 
Last edited by a moderator:
akikutenda ulete tena thread lingine.
 
Unaguna nini shost? Yote umeyataka wewe kutwa watu hatupumui humu....Matola...Matolaaa...
Ndo tunalipiza hata sie tunao mahubby humu jf...

Heheheee....kantangazeee......

Nikisutwa Dinazarde atakuja kunisaidia...!

You said it all,this is the route course.Its a shame cause hajamfikia Lara1 maana yeye hajamtaja huyo huby wake,sisi wa uswazi tunasema anajishebedua
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa kua umeweka wazi hata kama wanafiki mmeanza kutokwa na mapovu na kupaliwa ndo hivo ishakua mtoto kakubali kua na Gentleman hataki Ma boy wanao lialia , asante kwa heshima hiyo nami naahidi yafuatayo

Tobaaa...
 
Back
Top Bottom