cc: miss chagga...............
Aaaaaaaaa majukumu wangu ngoja nikuletee mjukuu ucheze nae
Pole sana. Ndo upunguze sasa we Karucer uliyeshindikana.
Infwakti hata mimi nataka nikulove mpk nyota zionekane mchana, tatizo nashindwa kumpenda mtu nikaiacha Guiness ya baridi. Aliyeigundua Guinness na aliyetengeneza friji keimanina zao sana.
Finally!!!
Ahsante.
Nakupenda sana jimama langu, nakupenda ewe mpenzi wangu wa chuo, bila kukusahau ewe mpenzi wangu mwenye duka la nguo pale kinondoni nakupenda sana, wewe unayesoma form six nakupenda sana, wewe uliyemaliza form four juzi pia una nafasi katika moyo wangu, wewe tunayefanya kazi ofisi moja i love you so much,nakupenda sana wewe tuliyekutana humu, wewe tuliyemaliza wote chuo una nafasi ya kuujaza moyo wangu......Always you are my number one naridhika kimapenzi..!
"No matter how many....the matter is how I care"
Are we messing with the same guy?
mi sijui nimpende nani
Usisahau ile apointimenti yetu, baada ya hapo tutajua umpende nani..
Hahahahaaaaaa!!!! the guy is so sweet, he is cool, rangi ya chocklate kama yangu, tall anaongea vizuri, taratibu, anajua ku care, akikushika mkono hutataka akuachie, akiongea na wewe kwenye simu hutataka simu ikatike, anajua kubembeleza...... and blah blah blahh looohs
asa nimejikuta badala ya kujibu swali lako nimeanza kumuelezea the guy.... he is cute by the way...
If we are on the same guy, my god!! mbona sifikirii kusurrender juu yake, may be aniambie yeye sikutaki, sasa hapo inakuweje.....!!!!
nimpende naniiiiiii mwenzenu naliaaaaa nitafanya nini najifikiriaaaaaaa niliempenda mwanzooo amenikimbiaaaa kisa masikiniiiiiii si ndo kanambiaaaaaaa nitampa niniiiiiiii atachoridhiaaaaaa kwake ni aibu nami kutembeaaaaaa
Aise sauti yako inafaa kabisa kurekodi. Jiandae wk ijayo nakupeleka studio
Nsharudi boss
Love mbona sijasikia neno nakupenda kutoka kwako???
kuna watu wamefanya mapinduzi nini????