mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Nakupenda japo uko huko
nimpende naniiiiiii mwenzenu naliaaaaa nitafanya nini najifikiriaaaaaaa niliempenda mwanzooo amenikimbiaaaa kisa masikiniiiiiii si ndo kanambiaaaaaaa nitampa niniiiiiiii atachoridhiaaaaaa kwake ni aibu nami kutembeaaaaaa
Gundu mamy!!!!
Uko poa lakini?
Love mbona sijasikia neno nakupenda kutoka kwako???
kuna watu wamefanya mapinduzi nini????
Yaani umekua siku hizi, hadi basi.
Aisee mi nakupenda sana. Ni kazi kweli kumpenda Karucee but its just the way she is wired.
Pole sana kwa mateso ya ku flirt sana. Hawezi kuacha.
Ila kama nafasi yako kwake unaijua then hutasumbuka sana.
Love you Boo.
yaani MMU mi huwa napita kushangaa tu
miss chagga i love you