Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,410
Last edited by a moderator:
All member of jf love u
no comment
Hapana, huwezi kuondoka tu ivi ivi, sema kitu shem
am speechless
mmmmhhhhh!!! nakupenda lakini naogopa kukwambia, ila unajua kuwa na kupenda coz matendo yangu, macho yangu yanapokuangalia yanasema hivo, sauti yangu ninapoongea na wewe inatamka kuwa nakupenda iliyobakia ni kukushika mkono tuu tuongozane ufukweni mwa bahari mwendo mdogo mdogo wa kuongea na kucheka.
Me love you ..... dash dash dash (.......) mtu wangu wa nguvu!!!
Japo neno moja sema, kwanza leo sijaskia sauti yako
Baadae tena funguka jamii ikujue!
Mi nampenda Lara1